Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
- Thread starter
- #161
Hahahaha mkuu una utani na bakhresa.Bakhresa alikuwa anashona viatu Livingstone,baadae akawa anauza lambalamba sasa hivi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha mkuu una utani na bakhresa.Bakhresa alikuwa anashona viatu Livingstone,baadae akawa anauza lambalamba sasa hivi....
.Hata waziri wa Misitu naye anakata "GOGO".
Hawa ndo aina ya watoa mawazo mapya kwenye hili jukwaa? Bora kukaa kimyaAssalam Aleykum wakuu
Katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vimradi vidogo vidogo ndio wamekuwa wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekuwa wakiwadharau na kuwadhihaki wenzao walioko kwenye ajira.
Wengi wao pato wanalopata kutoka kwenye ujasiriamali wao huo ni dogo sana na wanapata tabu sana ukilinganisha na wale walioajiriwa ambao wanawadharau.😀😀😀😀.
NB: Neno wafuga kuku halija wa target wafuga kuku kama unavyofikiria , soma utafakari kwa makini.
Haaa Stori za kijiweni analeta JF.Hahahaha mkuu una utani na bakhresa.
Hawa ndo aina ya watoa mawazo mapya kwenye hili jukwaa? Bora kukaa kimya[/QUOTE
Hatimaye umekuja mkuu, mfuga kuku mwenyewe kabisa😀😀😀😀😀😀😀
Assalam Aleykum wakuu