Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

Wewe ni miongoni mwa wale ambao wakiambiwa 3-2+1=2 au 6-2+1=5 watabisha akati ni kweli,

Kwenye ufugaji uvumilivi unahitajika pia Mkuu

Unaweza ukawa na kuku watano ( mitetea wa kienyeji) baada ya ya miezi sita ukawa na kuku wa kama miezi minne hivi 200 huku ukifanya na mambo mengne kujikwamua kiuchumi maana hauwezi kukaa tu ukitegemea kuku watano
nyie fugeni tu.mimi hapana hayo mambo yalishanishinda
 
Sawa mkuu ila ujue tu ghorofa halijengwi kwa kuuza mchicha

Ndio magorofa mengi mjini ni ya serekali, mashirika na watu binafsi walio amua kujiajiri .Ni ngumu mtu aliye ajiriwa ajenge gorofa

Ukipata mda fuga kuku Mkuu ,utapatapo mayai.
 
Nimejiajiri kwa kukata mkaa mkuu,nikipata pesa/hela ya kununua shamba kama ekari moja nitafuga kuku.
 
Wewe endelea kupanga foleni barabarani ukienda asubuh kwenye ajira yako Posta na kurudi jion ukijiona mjanja mtoto wa mjini, wacha sie wa Mbagala tukomae huku huku. Ila mwisho wa siku utakuja kuelewa tu maana ya vibiashara vya kuku
 
Endelea tu kujifariji mkuu na tu mradi tusiko na mbele wala nyuma, hujifunzi ata kwa wenzako kina bakhresa na mo! Nan kati yao alikua na tu biashara mjinga sijui kuchoma chips, sijui kufuga kuku sijui kuuza mahindi na jojo barabarani. Eti na ww unategemea kuja kuwa mtu. Utasubir sana😀😀😀😀😀😀😀
 
We jamaa bana unanichekesha sana.
 
Endelea tu kujifariji mkuu na tu mradi tusiko na mbele wala nyuma, hujifunzi ata kwa wenzako kina bakhresa na mo! Nan kati yao alikua na tu biashara mjinga sijui kuchoma chips, sijui kufuga kuku sijui kuuza mahindi na jojo barabarani. Eti na ww unategemea kuja kuwa mtu. Utasubir sana😀😀😀😀😀😀😀
Hebu tueleze ssb na mo walianzaje
 
Sawa mkuu ila ujue tu ghorofa halijengwi kwa kuuza mchicha
Ha ha ha aiseee! Unaweza kujenga ghorofa kwa kuuza mchicha in big scale sio kwa tenga na baiskeli.
Wauzie mchicha Hyatt,Serena,Sea Cliff,Double Tree uone kama hutajenga ghorofa. Kilimanjaro ni maji kama ya Kandoro ila tofauti ni kuwamoja iko large scale,sophisticated nyingine lowest,poorest quality
 
Endelea tu kujifariji mkuu na tu mradi tusiko na mbele wala nyuma, hujifunzi ata kwa wenzako kina bakhresa na mo! Nan kati yao alikua na tu biashara mjinga sijui kuchoma chips, sijui kufuga kuku sijui kuuza mahindi na jojo barabarani. Eti na ww unategemea kuja kuwa mtu. Utasubir sana😀😀😀😀😀😀😀
Bakhresa alikuwa anashona viatu Livingstone,baadae akawa anauza lambalamba sasa hivi....
 
Nini rai yako mkuu waache kufuga kuku wakaajiriwe?
Sio kila mtu anafuga anafanikiwa.

Kama huamini jaribu uone.
Nadhani wewe ni mmojawapo....so una stress za kushindwa mradi
Inawezekana kabisa..
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Amewakosea adabu sana walio jiajiri na walio na mpango wa kujiajiri

Serekali na mashirika yote hayawezi kuajiri watu wote wanaotaka ajira ndo maana kujiajiri si mhimu tu bali ni lazima wengine wafanye hivo ili wajipatie mahitaji mhimu ya kibidamu

Sasa nashanga huyu, unaye discourage kujiajiri

Kanikosea adabu sana kias chake.
Kweli..
 
Hebu niambie ni mtanzania yupi alieajiriwa anamzidi kipato cha mwezi bakhresa.

Niambie ni waajiriwa gani hapa bongo wanamzidi kipato millard ayo.

Sijaja kwa joti na biashara yake ya Juice ya miwa pale kinondoni, buguruni, posta na kariakoo.

Sijaenda kwa masanja kwenye kilimo chake kule kyela. Masanja amefikia hatua ananunua mpaka mashine za kilimo za milioni 70+. Ambapo hiyo hela ni kiinua mgongo kwa mstaafu wa serikali.

Sasa hapo sijaja kwa waliojiajili ambao hawana majina. Kuna rafiki yangu baba yake anaishi buza hapa dar ni mfanyabiashara wa nafaka tu. Kimuonekano yupo simple. Basi siku moja nikamsindikiza rafiki yangu bank alikuwa anafuatilia bank statement book ya baba yake ili waagize semi 10. Ndio kwa mara ya kwanza niliona bank statement ambayo imefunga mahesabu ya bilioni moja +. Na mtu yuko simpoooooooooooo akikutana na nyie waajiriwa mnabinulia midomo juu.

Tembeeni muone. Ukiondoa kazi za international NGos hapa Tanzania, kazi zingine zoooooooote ni njaa tupu na kuishi kwenye poverty cycle. HUo NDIO ukweli mchungu na kama ukitafakari vizuri utaelewa.
Ujumbe umefika..
 
Back
Top Bottom