Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,365
- 2,732
Wewe umenikosea adabu sana kias chake.endelea kuwaza kuje
mkuu huku ni kunikosea adabu 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umenikosea adabu sana kias chake.endelea kuwaza kuje
mkuu huku ni kunikosea adabu 😀😀
nyie fugeni tu.mimi hapana hayo mambo yalishanishindaWewe ni miongoni mwa wale ambao wakiambiwa 3-2+1=2 au 6-2+1=5 watabisha akati ni kweli,
Kwenye ufugaji uvumilivi unahitajika pia Mkuu
Unaweza ukawa na kuku watano ( mitetea wa kienyeji) baada ya ya miezi sita ukawa na kuku wa kama miezi minne hivi 200 huku ukifanya na mambo mengne kujikwamua kiuchumi maana hauwezi kukaa tu ukitegemea kuku watano
Sawa mkuu ila ujue tu ghorofa halijengwi kwa kuuza mchichaWewe umenikosea adabu sana kias chake.
Sawa mkuu ila ujue tu ghorofa halijengwi kwa kuuza mchicha
Ndo maana umeajiriwa. Your mind cant comprehend the bigger picture.
Kumbe wewe ndo unatuharibia mazingira Mkuu.Nimejiajiri kwa kukata mkaa mkuu,nikipata pesa/hela ya kununua shamba kama ekari moja nitafuga kuku.
Gratias, mkuu.Great Thinker at work .... Bravo
Endelea tu kujifariji mkuu na tu mradi tusiko na mbele wala nyuma, hujifunzi ata kwa wenzako kina bakhresa na mo! Nan kati yao alikua na tu biashara mjinga sijui kuchoma chips, sijui kufuga kuku sijui kuuza mahindi na jojo barabarani. Eti na ww unategemea kuja kuwa mtu. Utasubir sana😀😀😀😀😀😀😀Wewe endelea kupanga foleni barabarani ukienda asubuh kwenye ajira yako Posta na kurudi jion ukijiona mjanja mtoto wa mjini, wacha sie wa Mbagala tukomae huku huku. Ila mwisho wa siku utakuja kuelewa tu maana ya vibiashara vya kuku
We jamaa bana unanichekesha sana.Endelea tu kujifariji mkuu na tu mradi tusiko na mbele wala nyuma, hujifunzi ata kwa wenzako kina bakhresa na mo! Nan kati yao alikua na tu biashara mjinga sijui kuchoma chips, sijui kufuga kuku sijui kuuza mahindi na jojo barabarani. Eti na ww unategemea kuja kuwa mtu. Utasubir sana😀😀😀😀😀😀😀
Hebu tueleze ssb na mo walianzajeEndelea tu kujifariji mkuu na tu mradi tusiko na mbele wala nyuma, hujifunzi ata kwa wenzako kina bakhresa na mo! Nan kati yao alikua na tu biashara mjinga sijui kuchoma chips, sijui kufuga kuku sijui kuuza mahindi na jojo barabarani. Eti na ww unategemea kuja kuwa mtu. Utasubir sana😀😀😀😀😀😀😀
Ha ha ha aiseee! Unaweza kujenga ghorofa kwa kuuza mchicha in big scale sio kwa tenga na baiskeli.Sawa mkuu ila ujue tu ghorofa halijengwi kwa kuuza mchicha
Bakhresa alikuwa anashona viatu Livingstone,baadae akawa anauza lambalamba sasa hivi....Endelea tu kujifariji mkuu na tu mradi tusiko na mbele wala nyuma, hujifunzi ata kwa wenzako kina bakhresa na mo! Nan kati yao alikua na tu biashara mjinga sijui kuchoma chips, sijui kufuga kuku sijui kuuza mahindi na jojo barabarani. Eti na ww unategemea kuja kuwa mtu. Utasubir sana😀😀😀😀😀😀😀
Inawezekana kabisa..Nini rai yako mkuu waache kufuga kuku wakaajiriwe?
Sio kila mtu anafuga anafanikiwa.
Kama huamini jaribu uone.
Nadhani wewe ni mmojawapo....so una stress za kushindwa mradi
Sawasawa..Bakhresa alikuwa anashona viatu Livingstone,baadae akawa anauza lambalamba sasa hivi....
Kweli..Amewakosea adabu sana walio jiajiri na walio na mpango wa kujiajiri
Serekali na mashirika yote hayawezi kuajiri watu wote wanaotaka ajira ndo maana kujiajiri si mhimu tu bali ni lazima wengine wafanye hivo ili wajipatie mahitaji mhimu ya kibidamu
Sasa nashanga huyu, unaye discourage kujiajiri
Kanikosea adabu sana kias chake.
Ujumbe umefika..Hebu niambie ni mtanzania yupi alieajiriwa anamzidi kipato cha mwezi bakhresa.
Niambie ni waajiriwa gani hapa bongo wanamzidi kipato millard ayo.
Sijaja kwa joti na biashara yake ya Juice ya miwa pale kinondoni, buguruni, posta na kariakoo.
Sijaenda kwa masanja kwenye kilimo chake kule kyela. Masanja amefikia hatua ananunua mpaka mashine za kilimo za milioni 70+. Ambapo hiyo hela ni kiinua mgongo kwa mstaafu wa serikali.
Sasa hapo sijaja kwa waliojiajili ambao hawana majina. Kuna rafiki yangu baba yake anaishi buza hapa dar ni mfanyabiashara wa nafaka tu. Kimuonekano yupo simple. Basi siku moja nikamsindikiza rafiki yangu bank alikuwa anafuatilia bank statement book ya baba yake ili waagize semi 10. Ndio kwa mara ya kwanza niliona bank statement ambayo imefunga mahesabu ya bilioni moja +. Na mtu yuko simpoooooooooooo akikutana na nyie waajiriwa mnabinulia midomo juu.
Tembeeni muone. Ukiondoa kazi za international NGos hapa Tanzania, kazi zingine zoooooooote ni njaa tupu na kuishi kwenye poverty cycle. HUo NDIO ukweli mchungu na kama ukitafakari vizuri utaelewa.
Hata waziri wa Misitu naye anakata "GOGO".Kumbe wewe ndo unatuharibia mazingira Mkuu.