Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Assalam Aleykum wakuu
Katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vimradi vidogo vidogo ndio wamekuwa wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekuwa wakiwadharau na kuwadhihaki wenzao walioko kwenye ajira.
Wengi wao pato wanalopata kutoka kwenye ujasiriamali wao huo ni dogo sana na wanapata tabu sana ukilinganisha na wale walioajiriwa ambao wanawadharau.😀😀😀😀.
NB: Neno wafuga kuku halija wa target wafuga kuku kama unavyofikiria , soma utafakari kwa makini.