- Thread starter
- #61
System ya hapa nyumbani imewainuaje nyie MASKINI zaidi ya kuwaambie nyie MATAJIRI whilest nyie ni takataka mmejibanza kwenye UJINGA NA UFUKARA ULIOTUKUKA.system iliyopo south Africa ndio hiyo imetengenezwa kuwafanya hadi mtu kama wewe kuwaona wazulu nia wazembe, wavivu, hawana cha maana pale, ni kama observers tu kwenye nchi yao, uhuru wa bendera, lakini yote kwa yote ile ni nchi yao so kutokujielewa isiwe kigezo cha kuwanyima haki ya kua na total control ya mchi yao, waacheni kama ni kuharibi ni juu yao! ni kwao pale
MIJI MICHAFU BALAA. EBU TOKENI HUKO NJE MKAJIONEE BINADAMU KAMILI WANAVYOISHI KATIKA USTAARABU NA MPANGILIO.