Watu weusi Afrika Kusini waache kujifaragua. Bila wazungu hayo maendeleo na uchumi utabaki ndoto

System ya hapa nyumbani imewainuaje nyie MASKINI zaidi ya kuwaambie nyie MATAJIRI whilest nyie ni takataka mmejibanza kwenye UJINGA NA UFUKARA ULIOTUKUKA.

MIJI MICHAFU BALAA. EBU TOKENI HUKO NJE MKAJIONEE BINADAMU KAMILI WANAVYOISHI KATIKA USTAARABU NA MPANGILIO.
 
Hii kitu inanikera, kuna waziri wa vijana na ajira, waziri wa viwanda na biashara, kuna diwani, mkuu wa wilaya hawana mpango wowote, wengi ni wafaidika.
UNAJIULIZA WAKIWA WANAPITA HAPO KUTOKA DODOMA HAWAONI AU MAKUSUDI.ITS WEARD TO BE A BLACK PERSON😀😀😀
 
Kudedicate maendeleo ya SA kwa makaburu tu ni uongo man.Toka SA itoke kwenye sera za kibaguzi za makaburu hakuna kiongozi ambaye ni kaburu au colored kaongoza SA(ni weusi tu wameongoza)

Kama weusi ndio wameongoza kipindi hiki chote sasa mchango wa kaburu huko wapi hapa?(maendeleo ya SA yanatokana na michango ya watu kutoka mataifa kibao ikiwemo India,China,Nigeria,US nakuendelea ambao wapo SA)

SA sekta ya madini inamlinda maana anapata chochote kitu(tofauti na hii nchi yako ya Sir100).Vipo vitu kibao siwezi kutaja kila kitu lakini niseme MAKABURU ni weupe vichwani kama weusi tu(Nimefanya nao kazi si chini ya miaka mitatu lakini ni wabaguzi afu akili ndogo tu.Kingine waoga kwa wazungu wa jamii nyingine kama wanaotoka Australia,Canada na kuendelea)
 

kama wewe huoni mimi sio kazi yangu kukuonesha, ila elewa kwamba kila mtu aachiwe uhuru wake hamna justification ya kusema eti mtu hajielewi umchukulie haki yake, big NO, wewe kama umezoea kua mzee wa ndio mzee ni wewe mkuu
 
SA inajitosheleza kwa Kila kitu, USA wanatoa msaada kwenye AIDS(H.I.V) programs..Raisi wa SA keshasema ni hela ndogo...tafuta historia ya ADIS(H.I.V).Wameutengeneza wao,period
 
SA inajitosheleza kwa Kila kitu, USA wanatoa msaada kwenye AIDS(H.I.V) programs..Raisi wa SA keshasema ni hela ndogo...tafuta historia ya ADIS(H.I.V).Wameutengeneza wao,period
Hela ndogo walizitaka za nini kama wanajitosheleza? Hayo ni maneno ya mkosaji tu.
 
Mkuu nasisitiza hakuna aliyewanyang'anya wazungu ardhi hii sheria inaenda kuchukua ardhi isiyotumiwa ili apewe anayeweza kuendeleza hata aww mzungu
Na hilo limefafanuliwa vizuri leo na kiongozi wa chama cha wazungu DA mr steinssen ambaye amejitolea kujiunga na delegation itakayoenda marekani kukutana na trump kumuelezea kuhusu sheriq hii ambayo na yeye anaiunga mkono
 
Maendeleo ni nini ? Kwa fikra zako kabla ya hao waliokuja na kudisrupt maisha ya waliokuwepo kulikuwa hakuna maendeleo ?

Au tuseme hao waliowavamia Red Indians huko USA na kuua vyakula vyao na kubadilisha their natural environment na kuweka malls na kuchafua mazingira ndio maendeleo
 
wewe bana sasa ukimnyanganya mtu aridhi ambayo ni njia yake kuu ya uzalishaji si ni sawa na kumfukuza au wewe unaelewaje mambo🤔🤔🤔

Kama wangekuwa hawajafukuzwa kwanini TRUMP amewaalika kama wakimbizi huko USA???
 
wewe bana sasa ukimnyanganya mtu aridhi ambayo ni njia yake kuu ya uzalishaji si ni sawa na kumfukuza au wewe unaelewaje mambo🤔🤔🤔

Kama wangekuwa hawajafukuzwa kwanini TRUMP amewaalika kama wakimbizi huko USA???
Trump kakurupuka na kiongozi wa wazungu kamkana na anaenda kumuelezea kuhusu sheria hii
 
Acha kabisa yani tumepumbazwa kabisa yani mtu anaona hawezi kuishi bila ya mzungu hadi kwenye haki yake anaogopa kuongea ili asimuudhi mzungu
UKWELI MCHUNGU NYIE WATU WEUSI MMEZIDIWA NA MZUNGU UMBALI WA MBINGU NA ARIDHI.SO DONT COMPLAIN ABOUT THAT.

📌📌📌HIYO NI STRAIGHT FACT!!!

NYIE MLIOFREE NA MAKABURU MMESHINDWA KUPROVE WRONG KUWA BILA MZUNGU WAAFRICA WANAWEZA.

KWA MFANO UKIANGALIA HAPO BONGOLAND WATU WOTE WANAOHODHI UCHUMI NI WENYE ASILI YA ASIA NA EUROPE.WAMATUMBI WAPOWAPO TU KAZI ZAO UCHUUZI😂😂😂😂
 
Trump kakurupuka na kiongozi wa wazungu kamkana na anaenda kumuelezea kuhusu sheria hii
TUKIACHA SIASA ILA UKWELI NI KUWA MTU MWEUSI HANA UWEZO WA KUCOVER HILO GAPE WAKIACHIWA HIYO ARIDHI.

MBONA UNAKAZA KICHWA HAPA TANZANIA KUNA PLANTATION GANI IMEENDELEZWA NA WAMATUMBI TOFAUTI NA HIZO ZILIZOBINAFSISHWA KWA MAGABACHIRI AMBAO NAO WANAKOPEA MIKOPO HUKO KWENYE MABENKI
 
Hao wa south Africa wenyewe wavivu hayo mashamba wakipewa hamna kitu watafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…