Watu weusi Afrika Kusini waache kujifaragua. Bila wazungu hayo maendeleo na uchumi utabaki ndoto

Tengua kauli yako mkuu. Kama ni Afrika ni laana mbona wapo waliozaliwa Africa, wakakulia Africa na kufanikiwa hapa hapa Africa?
wataje wamatumbi walifanikiwa bila wizi/dili au kubebwa na mfumo.
 
Stop being a Charltan( a person who assumes to know everything and disrespect the opinions of others).
Hivi wewe kama umeona nimedharau mawazo yako ni jukumu lako kunishawishi kwa hoja sio kunipangia jinsi ya kuona mawazo yako.
 
Malema's speech represents his POLITICAL MOTIVE nothings more!!!
Who cares,it is time for blacks in SA to go hard now(These boers have been killing blacks without mercy)

Guess what? Payback time(white person killing a black person is right but when the narration is reversed whites prefer sanctions why?)
 
Who cares,it is time for blacks in SA to go hard now(These boers have been killing blacks without mercy)

Guess what? Payback time(white person killing black person is right but when the narration is reversed whites prefer sanctions why?)
Kumbe wewe sasa unahasira na makaburu ndio kusema hasira zako zimekufanya ushindwe kuona umuhimi wa wazungu/ makaburu hapo kwa Madiba.
 
Sasa unaweza kuelezea utajiri wa LUGUMI ukitoa Tenda za serikali???
Mkuu Lugumi ana shughuli zake nje ya tenda za serikali ambazo ni private hajaziweka wazi sana. Halafu unaongea kana kwamba kila Mwafrika aliyefanikiwa kapitia njia za panya halafu foreigners wanatumia njia halali.
 
Kumbe wewe sasa unahasira na makaburu ndio kusema hasira zako zimekufanya ushindwe kuona umuhimi wa wazungu/ makaburu hapo kwa Madiba.
Mchango wao sawa lakini nachokiana hapa ni kama watu wanasema weusi ndani ya SA wamelala kila kitu anafanya kaburu(sio kweli)

Makaburu yanamchango kwenye maendeleo ya SA,wazawa wanamchango wao na watu kutoka mataifa mengine wanamchango wao pia(Kwahiyo hili la kumpa sifa kaburu kupitiliza ndio nakataa)

Lakini kumbuka kuna kitu wanaita Golden rule.Inasema hivi,mfanyie mtu kitu ambacho ni sawa na wewe ungependa ufanyiwe(hipo kwa kizungu sijui kama tafsiri yangu ni sawa).Sasa kama ni hivyo, kaburu atulie tu anyolewe.Mbona yeye akiwa anaua weusi hakuna vikwazo dhidi yake?
 
Mhhhh, colonial mentality, kwamba watu weusi hawawezi kutengeneza magari,simu, kukuza viwanda, tekinolojia ?
Kwamba watu weusi hawana IQ ya kutosha!
Ben Carson dokta wa kwanza kutenganisha co joined twins, mapacha walioungana vichwa, kasome gifted hands, uelewe Mambo makubwa waliofanya weusi.
Yaani watu waliingia msituni kutafuta haki zao, na kumaliza udhalimu wa apartheid, lakini wasiwe na akili ya kujenga nchi!? Bro tema mate chini!
 
Nani kakwambia nimeajiriwa, mjinga wewe.
Wenzio tunakula pepo hapa hapa bongo.
Wazungu wenyewe unaowahusudu wanakuja huku kutalii kwa hela ndefu.
Washamba kama ninyi ndo mnashabikia kwenda ulaya na Dubai, pesa ikiwepo unaagiza chote na kinakuja.
Mtu ukikosa akili ni sawa na kuishi kama kipofu.
 
Ukweli mchungu ni kwamba ukitoa Nchi zote za SADC ambazo zinategemea Wazungu kuendelea,Tanznaia imezioiga BAO sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ