Watu weusi duniani kote waanzisha kampeni ya kurudi Tanzania, waishangaa Tanzania

Watu weusi duniani kote waanzisha kampeni ya kurudi Tanzania, waishangaa Tanzania

Haha.. joto la jiwe hawezi enjoy anything bila kuwaza kuhusu kenya . Seriously. Does this guy think that year of return started yesterday . Ati kenya tunaskia wivu.
giphy.gif
Leo huyu dada atajibu maswali, tafadhali usiache kumuuliza kujua ni nchi gani ambazo zipo top kwa Diaspora katika year of return movement.
 
Leo huyu dada atajibu maswali, tafadhali usiache kumuuliza kujua ni nchi gani ambazo zipo top kwa Diaspora katika year of return movement.
Yeye ndo nani?? Is she counting everyone coming to Africa? Typical Tanzanian behaviour. You just discovered sone people on YouTube speaking about TZ and you think everyone is coming there. What an idiot . He gave you 9 videos you gave 9 videos. And that somehow means Tanzania is leading.
 
Nimewaona wengi sana hapo youtube, na sasa wanaitana. Wengine ni teen-agers lakini wamekuja. watakaofuata ni wengi zaidi. Pamoja na kwamba sheria za kumiliki ardhi Tanzania kwa mgeni ni ngumu, hakuna uraia pacha, na kuupata uraia wa Tanzania ni zoezi, anatakiwa awe amekaa hapa kwa miaka mitano angalau. Lakini bado wanakuja.

My take: Kwenye sega la asali ndipo hukusanyika nyuki.
Sega la asali?
Wazazi wako na jirani zako kijijini wanaenda upande upande kama fusso imekata center bolt?
Kwa ujumla Tsnzania maisha mabovu hasa awamu ya 5
 
Yeye ndo nani?? Is she counting everyone coming to Africa? Typical Tanzanian behaviour. You just discovered sone people on YouTube speaking about TZ and you think everyone is coming there. What an idiot . He gave you 9 videos you gave 9 videos. And that somehow means Tanzania is leading.
While Kenyan video show individuals, Tanzanians videos Show movements of black people forming their Organization/Community for easy settling and repat to Tanzania, Show us something like this.
 
Back
Top Bottom