Watu weusi hawajalaaniwa

Watu weusi hawajalaaniwa

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Kwa kutokufahamu Maandiko kwa usahihi, baadhi ya watu wanaamini kuwa Mungu aliwalaani watu weusi. Wanawahusisha watu weusi na utomvu wa nidhamu wa Hamu kwa baba yake.

Baada ya Hamu kumchungulia baba yake, Noah alimlaani mtoto wa Hamu. Hakumlaani Hamu, alimlaani mjukuu wake, Kanaani, ambaye ni mtoto wa Hamu.
"Nuhu akalevuka katika ulevi wake...akasema, Na alaaniwe Kanaani" Mwanzo 9:24-25.

Hakumlaani Hamu, alimlaani Kanaani.

Unaweza ukajiuliza kwamba ni kwa nani amlaani mjukuu wake (Kanaani ) asiyekuwa na hatia badala ya mwanaye (Hamu) aliyemkosea?

Jibu ni kwamba kwa kanuni za kiroho, aliyebarikiwa na Mungu halaaniki.
"Mungu akamwambia Balaamu, Usiende pamoja nao; wala usiwalaani watu hawa, maana wamebarikiwa" Hesabu 22:12.

Baada ya gharika, Mungu alimbariki Nuhu na wanawe watatu aliotoka nao kwenye Safina.
"Mungu akambariki Nuhu na wanawe..." Mwanzo 9:1

Kwa kuwa alishabarikiwa na Mungu, isingewezekana tena kulaaniwa na mwanadamu.

Na kwa kuwa kosa la Hamu lilihitaji kuadhibiwa, huo mzigo alibebeshwa mtoto wa mwisho wa Hamu aitwaye Kanaani.

Hamu alikuwa na watoto wanne: Kushi, Misri, Putu, na Kanaani. Mwanzo 10:6

Tunaona kwamba Kushi, ambaye ndiye mtu mweusi, ana undugu wa karibu na Misri.

Kama wewe ni miongoni mwa watu wenye ngozi nyeusi, usikubali kudanganywa ukaamini kuwa mtu mweusi alilaaniwa. Aliyelaaniwa ni Kanaani, na hiyo laana ilishafanya kazi kwa uzao wa Kanaani kwa uzao wake kupotea. Kwa sasa hakuna "race" inayojinasibu na Kanaani.

Aliyelaaniwa ni Kanaani na si Kushi ambaye ndiye baba wa watu weusi!

Mungu hajawalaani watu weusi!

Nuhu hakuwalaani Waafrika!

Kwa kuwa hawakulaaniwa na Mungu wala na Nuhu, mtu mwingine awaye yote hataweza kuwalaani "Waafrika"!!!
 
Kwa hiyo dada zetu waache mikorogo!
 
Lakini Msahafu unasema wazi ^imelaaniwa ardhi ambapo ulitwaliwa,^ au siyo?

1. Mwanadamu = mavumbi

2. Mavumbi yamelaaniwa.

3. Kwa hiyo, mwanadamu amelaaniwa.
 
Your so bright.safi sn
 
Lakini Msahafu unasema wazi ^imelaaniwa ardhi ambapo ulitwaliwa,^ au siyo?

1. Mwanadamu = mavumbi

2. Mavumbi yamelaaniwa.

3. Kwa hiyo, mwanadamu amelaaniwa.
Imelaaniwa ardhi, mbn maelezo yako waz.huenda ndio maana kuna vimbunga,mafuriko,tetemeko nk.
 
Watu weusi walilaaniwa, wana laana

Waliambiwa tangu leo utakuwa Mtumwa kwa ndugu zako, na ndivyo ilivyo hadi leo na ni baada ya karne nyingi sana

Kwanza walikuwa watumwa kwa miaka mingi sana, kwa Wapersishi, kwa Waoman, kwa Waarabu wengine na kwa Wazungu

Pili, Tazama kazi zote zinazohitaji nguvu nyingi na zenye ujira/mshahara mdogo sana zinafanywa na watu weusi...

Kwa mfano, Watu weusi ndani ya nchi yao wameajiriwa na Watu wa Asia yaani Wahindi na Waarabu...mtu anakoka moto usiku mzima kiwandani kila siku usiku halafu analipwa 8000/= huo sio Utumwa?

Nenda South Africa uone Watu weusi wanavyosota migodini, nenda kwenye copper zambia

Njoo kwenye mashamba ya maua wanaopiga dawa na sumu kwa mikono ni watu weusi ilihali wazungu wanaondoka kabisa au wapige kwa Helcopter

Watu weusi ni Watumwa kwa jamii zingine duniani
 
Aliyeambiwa atakuwa mtumwa ni Kanaani na siyo Hamu. Soma Maandiko vizuri utaliona hilo lipo wazi.

Hakuna mahali kwenye Maandiko Waafrika wametamkiwa laana. Wanaoeneza hizo propaganda kuwa Waafrika walilaaniwa ni watu wanaotaka kuwatumia Waafrika kwa maslahi yao binafsi.
 
Hata ukiachana na maandiko, tuangalie hali halisi tangu enzi mpaka leo

Mtu mweusi anamtumikia mweupe
 
Kama hawajalaaniwa niambie kwanini watu weusi wamekuwa watumwa kuanzia nchini kwao mpaka ugenini
 
Kwa kutokufahamu Maandiko kwa usahihi, baadhi ya watu wanaamini kuwa Mungu aliwalaani watu weusi. Wanawahusisha watu weusi na utomvu wa nidhamu wa Hamu kwa baba yake.

Baada ya Hamu kumchungulia baba yake, Noah alimlaani mtoto wa Hamu. Hakumlaani Hamu, alimlaani mjukuu wake, Kanaani, ambaye ni mtoto wa Hamu.
"Nuhu akalevuka katika ulevi wake...akasema, Na alaaniwe Kanaani" Mwanzo 9:24-25.

Hakumlaani Hamu, alimlaani Kanaani.

Unaweza ukajiuliza kwamba ni kwa nani amlaani mjukuu wake (Kanaani ) asiyekuwa na hatia badala ya mwanaye (Hamu) aliyemkosea?

Jibu ni kwamba kwa kanuni za kiroho, aliyebarikiwa na Mungu halaaniki.
"Mungu akamwambia Balaamu, Usiende pamoja nao; wala usiwalaani watu hawa, maana wamebarikiwa" Hesabu 22:12.

Baada ya gharika, Mungu alimbariki Nuhu na wanawe watatu aliotoka nao kwenye Safina.
"Mungu akambariki Nuhu na wanawe..." Mwanzo 9:1

Kwa kuwa alishabarikiwa na Mungu, isingewezekana tena kulaaniwa na mwanadamu.

Na kwa kuwa kosa la Hamu lilihitaji kuadhibiwa, huo mzigo alibebeshwa mtoto wa mwisho wa Hamu aitwaye Kanaani.

Hamu alikuwa na watoto wanne: Kushi, Misri, Putu, na Kanaani. Mwanzo 10:6

Tunaona kwamba Kushi, ambaye ndiye mtu mweusi, ana undugu wa karibu na Misri.

Kama wewe ni miongoni mwa watu wenye ngozi nyeusi, usikubali kudanganywa ukaamini kuwa mtu mweusi alilaaniwa. Aliyelaaniwa ni Kanaani, na hiyo laana ilishafanya kazi kwa uzao wa Kanaani kwa uzao wake kupotea. Kwa sasa hakuna "race" inayojinasibu na Kanaani.

Aliyelaaniwa ni Kanaani na si Kushi ambaye ndiye baba wa watu weusi!

Mungu hajawalaani watu weusi!

Nuhu hakuwalaani Waafrika!

Kwa kuwa hawakulaaniwa na Mungu wala na Nuhu, mtu mwingine awaye yote hataweza kuwalaani "Waafrika"!!!
Ukifuatilia kanuni za Kiyahudi / Kirumi na Kiarab (Torat, Biblia na Qur'an) utakuwa mjinga maishani. Vile ni vitabu tu vilivyotungwa na watu na shetani ili kutawala binadamu, havina ukweli wowote ule.
 
Back
Top Bottom