Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

UPO SAWA KABISA. WATU WAMEWOMAA HUMU ETI WABANTU NDO WALIOKUWA WA KWANZA KUSTAARABIKA. ETHIPIANS ARE NOT BANTU, THEY ARE CUSHITICS. HATA PUA ZAO SIYO PANA KAMA ZA WABANTU.
 


Buddha was a black man, and although a lot of you hate to say it, but currently Arabic-Islam is very racist toward the African!
 
pia ndio chanzo cha weupe, ambao tuliwafukuza mazeruzeru wakakimbilia uhamishoni na kuoana wao kwa wao ndio chanzo cha weupe hao
YAANI WEWE NDO UNAONEKANA ZOMBI KABISA. KWA HALI HII ASILANI KAMWE WAAFRIKA HAMTAWEZA KUPIGA HATUA KWA KUTEGEMEA AKILI KAMA HII. HATA KUJUA KUWA ALBINISMS NI UGONJWA WEWE UNASEMA ZERUZERU WAKIOANA WANZAA MZUNGU! KWA KWELI HALI YA WAAFRIKA WENZANGU NI MBAYA SANA. HAPA TUSIGEMEE AKILI YA KUWEZA KURUSHA SATELAITI KATIKA ORBIT.
 
UPO SAWA KABISA. WATU WAMEWOMAA HUMU ETI WABANTU NDO WALIOKUWA WA KWANZA KUSTAARABIKA. ETHIPIANS ARE NOT BANTU, THEY ARE CUSHITICS. HATA PUA ZAO SIYO PANA KAMA ZA WABANTU.
Ujinga wenu wa historia ya mbegu za vizazi vya binadamu hauwafanyi waethiopia kuwa wazungu, kwani kabla ya waethiopia kulikuwa na wabantu, wazungu ndio wanatumia kauli zenu, ambazo nyi mwazikopi toka kwao katika ujinga wenu,baba wa waethiopia, wasomali, mmasai, mbulu na muiraki hapo Arusha
Fuvu LA kichwa LA binadamu wa kwanza Olduvai gorge Arusha hapo, babu yenu kabisa bado mtabisha....sasa naanza kukushusheni thamani,dizaini bora nibishe tu.....
 
Kinachotumaliza sisi weusi Woga wa kimapokeo kutoka kwenye maandiko ya kihistoria yaliyoandikwa na wazungu Kwamba tulianzia kuwa Masokwe je hao wazungu walikuwa sokwe gani?
Sasa na wewe unapotosha! Historia inasema binadamu wote wakiwemo wazungu tumetokana na masokwe na si watu weusi tu.
 
Nyie mnawaua babu zenu waliwafukuza
 
Nyie mnawaua wenzenu waliwafukuza
 
Mnafiki mkubwakabisa wewe, mmewaua kimyakimya albino mamia ya miaka Leo unajifanya ndio umeujua ni ugonjwa
 
UPO SAWA KABISA. WATU WAMEWOMAA HUMU ETI WABANTU NDO WALIOKUWA WA KWANZA KUSTAARABIKA. ETHIPIANS ARE NOT BANTU, THEY ARE CUSHITICS. HATA PUA ZAO SIYO PANA KAMA ZA WABANTU.
Watu kadhaa wameshakwambia anga hizi huziwezi rudi ngumbalu ukajifunze au tulia ufundishwe
 

KWA KILI YAKO UNAKUBALI KABISA BINADAMU WA KWANZA ALIKUWA MMASAANI WA NGORONGORO? WAMAASAI WAMEHAMIA PALE KARNE NYIUNGI SANA BAADA YA YESU KUZALIWA WAKITOKEA SUDAN YA KUSINI. KULE OLDUIVAI VOLKANO HAI NI NYINGI SANA, HATA MIAKA YA JUZI JUZI TU IMEENDELEA KULIPUKA. HICHO KILICHOOKOTWA NA DR. LECY NI KICWA CHA MAASAI WA JUZI ALIYENASA KATIKA VOLCANO. HAMNA ANAYEJUA BINADAMU WA KWANZA ALIKUWA WAPI. HIVO VIFAA WANAVYOTUMIA KUPIMIA VIMETENGEZWA NA BINADAMU WA JUZI KWA SETTING WALIZOPANGA WENYEWE. KABLA YA WAMAASAI KUFIKA NGORONGORO WALITANGULIA WAGATOGA (WAMANG'ATI) KUFIKA NGORONGORO. NA WENYEWE PIA WALITOKEA SUDAN KAMA ILIVYO KWA WAMASAI.
 
TUNAJUA NI UGONJWA NDO MAANA TULIKUWA TUNAWAUA. SASA WEWE UINASEMAJE NDO UZUNGU! pUMBAF KABISA.
Haukujua kwamba alikuwa ni ugonjwa, ulisema ni mkosi na laana,hadi taahira ya akili, mnafiki mkubwa kabisa wewe, watu weusi miongoni mwetu kuna maji ya kunde, tuna weupe na waupe kabisaaa, hata miongoni kwetu kuna watu kwenye pua nyembamba,mweupe hawezi geuza rangi Yake kuwa nyeusi, ugonjwa Huo ulijitokeza baadae, mchanganyiko wa ndoa kwa waliofukuzwa na waswahili weupe ndio ulisababisha kizazi cha watu weupe machotara baadae kabisa lakini mpaka wakati Huo watu walikuwa wanaheshimiana, ubaguzi umeanza karibuni tu karne ya kwanza na baada
 
mfano mzuri kabisaaa nimekuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…