Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

buddha4.jpg

Buddha was a black man, and although a lot of you hate to say it, but currently Arabic-Islam is very racist toward the African!
 
Wabantu wenye pua pana, lips pana iliyosambaa na nywele ngumu hawakufanya lolote katika Ancient world zaidi ya kujificha mapangoni kisha kwenye nyumba za tembe na kuzaliana tu.

Waliishi katika milima ya Cameroon kisha baadae wakafunguka na kuja kutoa viongozi wachache shupavu kama Shaka Zulu, Mkwawa na Kabaka ila hawakuwa wagunduzi wa silaha na mfumo wa utawala wenye nguvu nyingi.

Ukoloni ulivyokuja ukawaonesha kuwa wao si lolote kwa watu weupe.

Historia ya Mbantu inaishia hapo.

NB: Waethiopia wenye historia tangu katika dunia ya zamani sana (Ancient world) sio Wabantu asilani.

Hata Emperor Haile Selassie alibeba damu ya kiisrael kutoka kwa bibi yake yaani Queen of Sheba.
UPO SAWA KABISA. WATU WAMEWOMAA HUMU ETI WABANTU NDO WALIOKUWA WA KWANZA KUSTAARABIKA. ETHIPIANS ARE NOT BANTU, THEY ARE CUSHITICS. HATA PUA ZAO SIYO PANA KAMA ZA WABANTU.
 
buddha4.jpg

Buddha was a black man, and although a lot of you hate to say it, but currently Arabic-Islam is very racist toward the African!
 
pia ndio chanzo cha weupe, ambao tuliwafukuza mazeruzeru wakakimbilia uhamishoni na kuoana wao kwa wao ndio chanzo cha weupe hao
YAANI WEWE NDO UNAONEKANA ZOMBI KABISA. KWA HALI HII ASILANI KAMWE WAAFRIKA HAMTAWEZA KUPIGA HATUA KWA KUTEGEMEA AKILI KAMA HII. HATA KUJUA KUWA ALBINISMS NI UGONJWA WEWE UNASEMA ZERUZERU WAKIOANA WANZAA MZUNGU! KWA KWELI HALI YA WAAFRIKA WENZANGU NI MBAYA SANA. HAPA TUSIGEMEE AKILI YA KUWEZA KURUSHA SATELAITI KATIKA ORBIT.
 
UPO SAWA KABISA. WATU WAMEWOMAA HUMU ETI WABANTU NDO WALIOKUWA WA KWANZA KUSTAARABIKA. ETHIPIANS ARE NOT BANTU, THEY ARE CUSHITICS. HATA PUA ZAO SIYO PANA KAMA ZA WABANTU.
Ujinga wenu wa historia ya mbegu za vizazi vya binadamu hauwafanyi waethiopia kuwa wazungu, kwani kabla ya waethiopia kulikuwa na wabantu, wazungu ndio wanatumia kauli zenu, ambazo nyi mwazikopi toka kwao katika ujinga wenu,baba wa waethiopia, wasomali, mmasai, mbulu na muiraki hapo Arusha
Fuvu LA kichwa LA binadamu wa kwanza Olduvai gorge Arusha hapo, babu yenu kabisa bado mtabisha....sasa naanza kukushusheni thamani,dizaini bora nibishe tu.....
 
Kinachotumaliza sisi weusi Woga wa kimapokeo kutoka kwenye maandiko ya kihistoria yaliyoandikwa na wazungu Kwamba tulianzia kuwa Masokwe je hao wazungu walikuwa sokwe gani?
Sasa na wewe unapotosha! Historia inasema binadamu wote wakiwemo wazungu tumetokana na masokwe na si watu weusi tu.
 
YAANI WEWE NDO UNAONEKANA ZOMBI KABISA. KWA HALI HII ASILANI KAMWE WAAFRIKA HAMTAWEZA KUPIGA HATUA KWA KUTEGEMEA AKILI KAMA HII. HATA KUJUA KUWA ALBINISMS NI UGONJWA WEWE UNASEMA ZERUZERU WAKIOANA WANZAA MZUNGU! KWA KWELI HALI YA WAAFRIKA WENZANGU NI MBAYA SANA. HAPA TUSIGEMEE AKILI YA KUWEZA KURUSHA SATELAITI KATIKA ORBIT.
Nyie mnawaua babu zenu waliwafukuza
 
YAANI WEWE NDO UNAONEKANA ZOMBI KABISA. KWA HALI HII ASILANI KAMWE WAAFRIKA HAMTAWEZA KUPIGA HATUA KWA KUTEGEMEA AKILI KAMA HII. HATA KUJUA KUWA ALBINISMS NI UGONJWA WEWE UNASEMA ZERUZERU WAKIOANA WANZAA MZUNGU! KWA KWELI HALI YA WAAFRIKA WENZANGU NI MBAYA SANA. HAPA TUSIGEMEE AKILI YA KUWEZA KURUSHA SATELAITI KATIKA ORBIT.
Nyie mnawaua wenzenu waliwafukuza
 
YAANI WEWE NDO UNAONEKANA ZOMBI KABISA. KWA HALI HII ASILANI KAMWE WAAFRIKA HAMTAWEZA KUPIGA HATUA KWA KUTEGEMEA AKILI KAMA HII. HATA KUJUA KUWA ALBINISMS NI UGONJWA WEWE UNASEMA ZERUZERU WAKIOANA WANZAA MZUNGU! KWA KWELI HALI YA WAAFRIKA WENZANGU NI MBAYA SANA. HAPA TUSIGEMEE AKILI YA KUWEZA KURUSHA SATELAITI KATIKA ORBIT.
Mnafiki mkubwakabisa wewe, mmewaua kimyakimya albino mamia ya miaka Leo unajifanya ndio umeujua ni ugonjwa
 
Ujinga wenu wa historia ya mbegu za vizazi vya binadamu hauwafanyi waethiopia kuwa wazungu, kwani kabla ya waethiopia kulikuwa na wabantu, wazungu ndio wanatumia kauli zenu, ambazo nyi mwazikopi toka kwao katika ujinga wenu,baba wa waethiopia, wasomali, mmasai, mbulu na muiraki hapo Arusha
Fuvu LA kichwa LA binadamu wa kwanza Olduvai gorge Arusha hapo, babu yenu kabisa bado mtabisha....sasa naanza kukushusheni thamani,dizaini bora nibishe tu.....

KWA KILI YAKO UNAKUBALI KABISA BINADAMU WA KWANZA ALIKUWA MMASAANI WA NGORONGORO? WAMAASAI WAMEHAMIA PALE KARNE NYIUNGI SANA BAADA YA YESU KUZALIWA WAKITOKEA SUDAN YA KUSINI. KULE OLDUIVAI VOLKANO HAI NI NYINGI SANA, HATA MIAKA YA JUZI JUZI TU IMEENDELEA KULIPUKA. HICHO KILICHOOKOTWA NA DR. LECY NI KICWA CHA MAASAI WA JUZI ALIYENASA KATIKA VOLCANO. HAMNA ANAYEJUA BINADAMU WA KWANZA ALIKUWA WAPI. HIVO VIFAA WANAVYOTUMIA KUPIMIA VIMETENGEZWA NA BINADAMU WA JUZI KWA SETTING WALIZOPANGA WENYEWE. KABLA YA WAMAASAI KUFIKA NGORONGORO WALITANGULIA WAGATOGA (WAMANG'ATI) KUFIKA NGORONGORO. NA WENYEWE PIA WALITOKEA SUDAN KAMA ILIVYO KWA WAMASAI.
 
TUNAJUA NI UGONJWA NDO MAANA TULIKUWA TUNAWAUA. SASA WEWE UINASEMAJE NDO UZUNGU! pUMBAF KABISA.
Haukujua kwamba alikuwa ni ugonjwa, ulisema ni mkosi na laana,hadi taahira ya akili, mnafiki mkubwa kabisa wewe, watu weusi miongoni mwetu kuna maji ya kunde, tuna weupe na waupe kabisaaa, hata miongoni kwetu kuna watu kwenye pua nyembamba,mweupe hawezi geuza rangi Yake kuwa nyeusi, ugonjwa Huo ulijitokeza baadae, mchanganyiko wa ndoa kwa waliofukuzwa na waswahili weupe ndio ulisababisha kizazi cha watu weupe machotara baadae kabisa lakini mpaka wakati Huo watu walikuwa wanaheshimiana, ubaguzi umeanza karibuni tu karne ya kwanza na baada
 
Hata kwenye maisha ya sasa kuna watu wanazaliwa katika familia bora lakini baadae wanakuja tengeneza familia duni ,,, na wale waliokuwa duni kutengeneza familia bora...

Linatokea hili kwenye jamii yetu.

Kama hiyo historia ni kweli basi yawezekana kuna kizazi cha weusi kilikuja fanya makosa ambayo kwayo kizazi cha weupe kikajikwamua na kuhakikisha mweusi haji juu tena.

Lakini kuna dalili ya mzungu kuanza uzembe na mwafrica kuanza kuamka.. mambo haya hayatokei ndani ya muda mfupi.
Mijadala hii mnayoifanya hapa jf ipo siku itamrudisha juu mtu mweusi kama alivyokuwa zamani.
mfano mzuri kabisaaa nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom