Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Mengi ya nn kwani sijaeleweka kila mtu ana asili yake mnataka asili ipi?!
 
Black people amna walichobalikiwa ni mwendo wa kiza tuu ropokeni mkichoka mtaacha.
 
Mengi ya nn kwani sijaeleweka kila mtu ana asili yake mnataka asili ipi?!

I quote Bob Marley's words

"Every man gotta right to decide his own destiny", thats yours, this is mine. Unaweza ona mwenyewe hawa walio tayari kujirudi, hivyo kama waona sivyo basi yapasa utuache tufanye tunayo yaona yanafaa.

My right is my life.
 
Umepata wapi mkuuu maana mim muumini mzur wa histor ili nikapekue
 
Sasa ilikuaje watu weusi hadi leo ndiyo tumekuwa tuko nyuma kimaendeleo na ndiyo tunaonekana tumechelewa kustaarabika?

Tatizo nyie mnataka tukubaliane tu na nyie na tukiwahoji ili tupate kuwaelewa vizuri tunaonekana kama vile hatuna uzalendo.

Kwa sababu kwa hayo yote mnayoyaeleza ya kuhusu mtu mweusi yangekuwa sawa kabisa kama mnavyoeleza basi leo msingetumia nguvu kulieleza hili jambo,maana hapa ni kama mnatuhubiria imani na kututaka tuamini tu kisa na sie weusi,kwa uelewa wangu haya mnayoyaeleza yapo ya kweli lakini pia hayapo kama mnavyotaka nyie kutuaminisha.
 
Kwani ustaarabu ni nini?
 
Kwani ustaarabu ni nini?
Staha + Arabuni = 'Staha ya Arabia'

1.Staha_yenye kusimamia kujiendesha katika Utu, kiasi na utaratibu mwema.

2.Na Arabia_hii najua unafahamu

Atakaye tafsiri tofauti na hivi ujue Mnazi wa Lugha.

Yaani kila Kona Mtu mweusi anavishwa Joho la kumsitiri asiaibike.

Vijana sijui wanatoa wapi Ujasiri wa kujiona wanastahili.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…