Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

783bac5fed75cb810779bc9a8fb44025.jpg
 
Nini kinakufanya ujumuishe watu weusi? Yaani utadhani unawafahamu hao watu weusi wote. Je unawafahamu wote na asili yao hadi una jumuisha?

Wewe sema mimi(yaani wewe) huna ustaarabu. Na usijumuishe watu ambao hata huwajui wala hamja kutana nao.

Hivi hao wagonjwa weupe wanao wapa wadogo wako wakike au usikute pia ni watoto wako chanjo ya kansa kwa shule za msingi unadhani ndio fallen angels? Wanapinga ulaji wa vitu asili na kukulazimisha utumi mbegu sumu za genetic modified(GMO) ili uwe mteja wao pale ocen road ukapigwe takataka za mionzi na chemotherapy ndio fallen angels? Hao wanao kudanganya kua kisukari na cancer ni magonjwa wakati its just the symptoms za kua your body needs to be ditoxed na imechangiwa na junk foods ulazo walizo kupa hao ndio fallen angels?
Nina mengi ya kuku asa tu sema sioni hata umuhimu. Wewe hujitambui thats why i dont even see the point. Haya nayo yaandika ni kwaajili ya wasomaji watakao kua tayari kurudia asili zao na sio wewe.

Peace.
Mengi ya nn kwani sijaeleweka kila mtu ana asili yake mnataka asili ipi?!
 
Black people amna walichobalikiwa ni mwendo wa kiza tuu ropokeni mkichoka mtaacha.
 
Mengi ya nn kwani sijaeleweka kila mtu ana asili yake mnataka asili ipi?!

I quote Bob Marley's words

"Every man gotta right to decide his own destiny", thats yours, this is mine. Unaweza ona mwenyewe hawa walio tayari kujirudi, hivyo kama waona sivyo basi yapasa utuache tufanye tunayo yaona yanafaa.

My right is my life.
 


Maelfu ya miaka watu weusi walikwenda bara Asia na Ulaya na kufanya ustaarabu huko, mtu mweusi ndiye aliyestaarabisha Dunia, uliyofundishwa darasani Ni historia changa mno, Tena ya karibu mno, mtu mweusi hujitambui, ungelijijua wewe....!!!!!! Dunia itatikisika, sisi tulikuwa wenyeji asilia wa bara la Asia na Ulaya maelfu ya miaka kabla ya biashara ya utumwa, kimsingi wenyeji asilia wa dunia ni sisi, mwalimu wako wa history anakwambia ulikwenda Ulaya Kama mtumwa???????!!!!!

The British, with the "Modern" Germans, were the originators of revisionist history. It was they who first began to write Blacks out of history after the “Race/Religious Wars" of the late medieval. Now look, the British will soon start teaching their children the truth: that Blacks were the original people of Britain. But please know, this is not the result of truth seeking, those truths were always known
Umepata wapi mkuuu maana mim muumini mzur wa histor ili nikapekue
 
Asante sana king jaffer joffer....wengi sana bado wamejawa tope vichwani kuhusu mtu mweusi
Ncha ya mkukina Asante pia kwa uzi mkali
Huyo khalifa ndio wale wameathiriwa na hamitic theory, ukweli ni kwamba ustaarabu ulianza kusini mwa tufe la dunia yaani Africa kwanza. wasumeri walikuwa watu weusi, waethiopia wasomali ni Mbegu Za watu weusi....hiyo ancient Egypt mzizi wake ni Sudan kusini, nywele Za singa na pua ilochongoka mbona wamejaa africa???? Wenyeji asilia wa india weusi tii.....kasome Kwanza Khalifa sio unakurupuka...nakuelewa na kukusamehe, kwani lazima kikuume kukutwa umedanganywa. Muhamadi mwenyewe alikuwa mweusi tiiii
Hiyo dharau yenu kwa watu weusi Mungu ameiweka makusudi ndipo Nabii Issa akakwambia Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni
Sasa ilikuaje watu weusi hadi leo ndiyo tumekuwa tuko nyuma kimaendeleo na ndiyo tunaonekana tumechelewa kustaarabika?

Tatizo nyie mnataka tukubaliane tu na nyie na tukiwahoji ili tupate kuwaelewa vizuri tunaonekana kama vile hatuna uzalendo.

Kwa sababu kwa hayo yote mnayoyaeleza ya kuhusu mtu mweusi yangekuwa sawa kabisa kama mnavyoeleza basi leo msingetumia nguvu kulieleza hili jambo,maana hapa ni kama mnatuhubiria imani na kututaka tuamini tu kisa na sie weusi,kwa uelewa wangu haya mnayoyaeleza yapo ya kweli lakini pia hayapo kama mnavyotaka nyie kutuaminisha.
 
Ingekuwa ni true basi zile remote area za ndani ambazo hazikuathiriwa na tamadamuni za wageni wakoloni zingekuwa zimestaarabika sana.Labda mtoa mada alitaka kumaanisha ustaarabu upi, wa kiutamaduni,kifikra nk.Maana kuna ustaarabu na maendeleo ni vitu viwili tofauti.
Kwani ustaarabu ni nini?
 
Kwani ustaarabu ni nini?
Staha + Arabuni = 'Staha ya Arabia'

1.Staha_yenye kusimamia kujiendesha katika Utu, kiasi na utaratibu mwema.

2.Na Arabia_hii najua unafahamu

Atakaye tafsiri tofauti na hivi ujue Mnazi wa Lugha.

Yaani kila Kona Mtu mweusi anavishwa Joho la kumsitiri asiaibike.

Vijana sijui wanatoa wapi Ujasiri wa kujiona wanastahili.!?
 
Back
Top Bottom