hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
MIMI BWANA HUWA NAFURAHISHWA MNO NAHAYA MAFUNDISHO YENU MAANA HUWA YANANIPA MWANGA FULANI KUHUSU KUJITAMBUA KWETU KAMA WATU WEUSI NA HUWA NAWAFIKISHIA HABARI HIZI JAMAA ZANGU NAO WAPATE KUJITAMBUA ..Uwe unasoma japo kidogo,hao wazungu wako uwaabuduo, walikuwa mashimo ya vyoo na nyumba za tope si zaidi ya millenia Moja ilopita,ilikuwa Ni mamluki wa kiislamu wengi weusi kutoka Morocco waliopeleka Mwanga Kule, pasipo choyo ya elimu Wala kinyongo wasomi wanakiri ilikuwa Ni uvamizi wa dola la Al andalusia ndio ulio kuwa chachu ya maendeleo Ulaya hadi chanzo Cha dunia mpya ama Renaissance, wakati huo ukiristo ulikuwa gizani kabisa,lakini kwa kuwa umeshajituni kubisha,na hili nalo pia kataa, si ndio zile za pembe tatu yenye pembe nne!!!!!
ILA SHIDA KUBWA NINAYO PATA NIPALE MNAPOUGUSA UISLAM KUWA NAO NI DINI ZAKUTUNGWA TU NA MAYAHUDI WKATI UISLAM HUO HUO HAUTAKI KABISA KUWASIKIA WAYAHUDI TENA UNATAJA WAZI WAZI KUWA MAYAHUDI WANALAANA YA MUNGU ..NA UKIFUATILIA ZAIDI UNAKUJA KUONA HATA YALE YLIYOWAFIKA WAYAHUDI TOKA KWA HITLER NI MOJA YA LAANA ZA MUNGU NA NIUTABIRI ULIOPO KTK QUR'AN HATA YALE YALIYOWAFIKA PIA KUPITIA FARAO ILIKUWA NILAANA YA MUNGU PIA KWA MUJIBU WA UISLAM..
TENA KTK HISTORIA YA QUR'AN INAONYESHA KUWA MUHAMMAD ALIKUWA ANAITAMBUA NGUVU WALIYONAYO WATU WEUSI NDIO MAANA ALIMTEUA JAMAA MMOJA HVI ANAITWA BILALI KUWA NDIYE KIONGOZI WAKUTOA ADHANA ..HATA PALE WAARABU WALIPOONA DONGE NA KUMFANYIA FITNA HUYU MTU MWEUSI MTOA ADHANA ..MUNGU AKAMTUMA MALAIKA AJE KUMWAMBIA MTUME KUWA HAWASIKII SAUTI YA ADHANA MBINGUNI TENA KWA SBABU BILALI HAADHINI ..KWA HIYO WNATKA BILALI AENDELEE KUKAIMU NAFASI YAKE..MPKA HAPO NADHANI WAONA JINSI MTU MWEUSI ALIVYOKUWA NATHAMANI NA HUYU MTU ALIKUWA NA ASILI YA ETHIOPIA