Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Unaweza kuthibitisha kuwa ni Wabantu / watu weusi ndio waliodesign na kujenga Old Pyramids mpaka za Mexico?

Ni miaka ipi waliishi na kujenga pyramids huko Mexico?
Tuthibitishe Mara ngapi, nyuzi hamsomi mnakurupuka na shibe za uubwabwa maharage
 
Farao kufu alojengewa piramidi kuu mzungu Huyo
th (9).jpeg
o
 
Kuna swali huwa najiuliza kulingana na hizi mada zinazompa nguvu myu mweusi. Kama kweli tulikuwa advanced kiasi hicho how come tupo dependent na inferior kwa ngozi nyeupe.?
Kuwa mstaarabu ina maana hata uwezo wako wa kufikiri ni mzuri so ina maana tulishindwa kufikiria kama inawezekana race nyingine inaweza kutufanyia hila kwa kuwa tumewazidi? Hivyo tukaweka mikakati ambayo ingetufanya kuikabili hila hizo zilizofanywa na mtu mweupe zidi yetu?
Hawa watu weupe walipokuja kuchukua malighafi ina maana kwa wakati huo hatukuwa tunajua uthamani wa malighafi hizo?
Histori ya darasani tunaambiwa tikuwa tunachezea bao dhahabu na vito vingine vya thamani, kweli hatukujua uthamani wa vito hivyo mpaka mtu mweupe anakuja kuchukua kwa kutubadilishia na vijiko na vitu vingine vya kipuuzi???
Tutasema tuligundua hili mara lile..je wakati hawa watu weupe wanafanya hiyo mikakati yao ya kutufanya tuwe inferior kwao tangu walipoanza hiyo miaka 500 iliyopita...je mtu mweusi alikuwa anafanya nini na ameshindwa vipi kujipanga na yeye ndie akawa superior kwa ngozi nyeupe tangu hiyo miaka 500 iliyopita???
Hata kwenye maisha ya sasa kuna watu wanazaliwa katika familia bora lakini baadae wanakuja tengeneza familia duni ,,, na wale waliokuwa duni kutengeneza familia bora...

Linatokea hili kwenye jamii yetu.

Kama hiyo historia ni kweli basi yawezekana kuna kizazi cha weusi kilikuja fanya makosa ambayo kwayo kizazi cha weupe kikajikwamua na kuhakikisha mweusi haji juu tena.

Lakini kuna dalili ya mzungu kuanza uzembe na mwafrica kuanza kuamka.. mambo haya hayatokei ndani ya muda mfupi.
Mijadala hii mnayoifanya hapa jf ipo siku itamrudisha juu mtu mweusi kama alivyokuwa zamani.
 
Miungu weusi wa India: Shiva Ji

Byodhi, Dhan Sant Gurdev

Alikuwa Bhagwan Valmiki alitunga sanskrit na kuandika Ramayan miaka elfu kumi kabla ya kuzaliwa kwa aryan rama. Katika Ramayan ni vita kati ya aryans na (anaryas) kama wanavyoitwa. Bwana Ravana alikuwa raksish. Pia alikuwa na ngozi nyeusi na alikuwa Dravidian wa India. Baaner saina ambayo inamaanisha jeshi la manyani kama wanaume pia ni wa kabila ya asili ya Waarabu ninaamini kuwa wanaweza kuwa na uhusiano na Waafrika. [Kumbuka Mhariri: Katika India manyani au Anuman ni ishara ya uungu na utakatifu] Baaner saina walikuwa wakipigana upande wa bwana aryan Rama. Walijenga pia daraja linalojumuisha tamil nadu na lanka. Daraja hilo bado linaendelea. Linaitwa Ram Setu. Daraja hili linaweza pia kuonekana kutoka satelite ya Nasa kwenye mtandao. Shivaism ilikuwa mojawapo ya dini za kwanza nchini India kwa sababu Shiva katika Hindu sawa na Adamu. Shiva alikuwa mtu wa kwanza duniani na mke wake parvati aliundwa na Valmiki kutokana na mwili wa mguu wa Shiva. Shiva ji alikuwa na dreadlocks na pia ngozi nyeusi. Ilikuwa kutoka Shiva ji ambapo matumizi ya bangi\ganja yalijumuishwa katika dini. Shiva ji alivuta Ganja na kutafakari juu ya mlima kailash kwa miaka. Maka ya Kiislamu ilikuwa nyumba ya Shiva ji ambayo ilijengwa kwake na mungu mkuu wa ujenzi Vishwakarma, nyumba ya Sri Lanka ya Rakshish Ravana (Black Indian) pia ilijengwa na Bwana Vishwakarma. Ndiyo maana kuna jiwe jeusi huko ambalo kila mwendaji muisilamu anabusu. Kumbe Maka kuhiji wana abudu Mungu mweusi. Jiwe jeusi linatokana na Shivaism inayoitwa linga. Inawakilisha viungo vya kiume vya shiva ji. Vitu vya siri vya Shiva ji vinafanyika utakatifu kwa sababu ni kutoka kwa viungo hivyo ambavyo Shiva ji alitoa maisha kwa ulimwengu. Hii ndiyo mwanzo wa mwanadamu. Uhindu umekuwa pale tangu mwanzo kulikuwa hakuna dini kabla ya uhindu kwa sababu ilikuwa kutoka kwa Shiva ji (Adamu) mtu mweusi kwamba watu wote waliumbwa. Wakati hakukuwa na kitu kwenye sayari hii lakini maji kabla ya kitu chochote kilichopo Valmiki ameketi juu ya maua takatifu ya lotus na akaumba dunia ndani ya yuga 36. Valmiki alikuwa Mwenyezi Mungu aliyekuwa na uwezo wa kuunda mtoto nje ya majani wakati alipokuwa mwana wa pili wa Aryan bwana Rama aliyeitwa kush. Ikiwa Shiva Ji alikuwa mtu wa kwanza kisha Uhindu ni dini ya kwanza. - [: Shiva ji alikuwa na ngozi ya rangi nyeusi, Rasta mvuta bangi, mungu mwenye upendo wa milimani wa india]

Maandiko ya Chapisho: Shri Ramayan Ad Dharm Granth iliyoandikwa na Sant Satguru Gurdev Singh Ji. Byodhi, Dhan Sant Gurdev




Shiva Ji, The Black Dreadlock God of India: The Black Gods of India – Hinduism By- sodhi ram, Dhan Sant Gurdev | Rasta Livewire
 
Wenyeji weusi asilia wa India, na Mungu Shiva Ji mungu mweusi kabisa na Rasta muasisi wa uvutaji bangi wa India, kanuni ya evolution ama asili ya binadamu kutoka na manyani ilisemwa muda mrefu na makuhani katika vitabu vitakatifu vya wahindi kabla ya Charles Darwin wahindi wanaheshimu nyani na rangi nyeusi mno kwao ni mungu na utakatifu
download (2).jpeg
th (14).jpeg
th (15).jpeg
download (3).jpeg
download (3).jpeg
th (15).jpeg
th (14).jpeg
download (2).jpeg
 
Hata kwenye maisha ya sasa kuna watu wanazaliwa katika familia bora lakini baadae wanakuja tengeneza familia duni ,,, na wale waliokuwa duni kutengeneza familia bora...

Linatokea hili kwenye jamii yetu.

Kama hiyo historia ni kweli basi yawezekana kuna kizazi cha weusi kilikuja fanya makosa ambayo kwayo kizazi cha weupe kikajikwamua na kuhakikisha mweusi haji juu tena.

Lakini kuna dalili ya mzungu kuanza uzembe na mwafrica kuanza kuamka.. mambo haya hayatokei ndani ya muda mfupi.
Mijadala hii mnayoifanya hapa jf ipo siku itamrudisha juu mtu mweusi kama alivyokuwa zamani.
Asante ndugu, maneno yako yanatutia nguvu
 
Weupe wanamchukia na kumdunisha mweusi sababu ya wivu, na wakati mweupe anajua kisa cha chuki Yake kwa mweusi ni kuikosa baraka ya mzaliwa wa kwanza, mpambe wake mwenye kumsapoti mweusi hajitambui, anaikiri hali ya utumwa na usukule wake badala ya kuikana na kuikataa....!!!!!
 
Hata kwenye maisha ya sasa kuna watu wanazaliwa katika familia bora lakini baadae wanakuja tengeneza familia duni ,,, na wale waliokuwa duni kutengeneza familia bora...

Linatokea hili kwenye jamii yetu.

Kama hiyo historia ni kweli basi yawezekana kuna kizazi cha weusi kilikuja fanya makosa ambayo kwayo kizazi cha weupe kikajikwamua na kuhakikisha mweusi haji juu tena.

Lakini kuna dalili ya mzungu kuanza uzembe na mwafrica kuanza kuamka.. mambo haya hayatokei ndani ya muda mfupi.
Mijadala hii mnayoifanya hapa jf ipo siku itamrudisha juu mtu mweusi kama alivyokuwa zamani.
Ubaguzi umetengenezwajuzi hapa baada ya karne ya kwanza, duniaya kale ya MTU mweusi watu wa mataifa ote walipendaa na kuheshimiana
 
blckbuddha.gif


"That which is good is never finished."
Sukuma, Tanzania

ankhline.gif


ANOTHER MYTH ONE BITES THE DUST...

Some early European scholars have attempted to chronicled the truth concerning the African origins of culture, religion and morality and put it squarely in the lap of Africa as it should be. Unfortunately these scholars of ancient history are being systematically discredited by those with a Euro-centric bent. Today we will look at the origin of the Buddha and how this man or group of men [priests] spread the gospel of African truths throughout the Middle East and Asia.

Originally Buddha was a title for a man or group of African men from an ancient priesthood, probably Egyptian. Buddhism was established 500 years before Christianity in the so-called Middle East, it was a contemporary of Judaism. Buddhist tenets included ancient "Golden Rule" a repeated in the Bible and other sacred texts:

The Bible:

Matt 7:12

"So in everything, do to others what you would have them do to you, for this sums up the Law and the Prophets."

Luke 6:31

"Do to others as you would have them do to you."
 
It was the opinion of Sir William Jones, that a great nation of Blacks* formerly possessed the dominion of Asia, and held the seat of empire at Sidon. These must have been the people called by Mr. Maurice Cushites or Cuthites, described in Genesis; and the opinion that they were Blacks is corroborated by the translators of the Pentateuch, called the Seventy, constantly rendering the word Cush by Ethiopia.

The religion of Buddha, of India, is well known to have been very ancient. In the most ancient temples scattered throughout Asia, where his worship is yet continued, he is found black as jet, with the flat face, thick lips, and curly hair of the Negro. Several statues of him may be met with the East-India Company. There are two exemplars of him brooding on the face of the deep, upon a coiled serpent. To what time are we to allot this Negro ? He will be proved to have been prior to Cristna. He must have been prior to or contemporaneous with the black empire, supposed by Sir William Jones to have flourished at Sidon.

The religion of this Negro God is found, by the ruins of his temples and other circumstances, to have been spread over an immense extent of country, even to the remotest parts of Britain, and to have been professed by devotees inconceivably numerous. �

Mr. Wilsford, in his treatise on Egypt and the Nile, in the Asiatic Researches, informs us, that many very ancient statues of the God Buddha in India have crisp, curly hair, with flat noses and thick lips; and adds,

"nor can it be reasonably doubted, that a race of Negroes formerly had power and pre-eminence in India."

In my Essay on The Celtic Druids, I have shown, that a great nation called Celt�, of whom the Druids were the priests, spread themselves almost over the whole earth, and are to be traced in their rude gigantic monuments from India to the extremities of Britain. Who these can have been but the early individuals of the black nation of whom we have been treating I know not, and in this opinion I am not singular. - Godfrey Higgins.

The learned Maurice says,

"Cuthites, i. e. Celts, built the great temples in India and Britain, and excavated the caves of the former."

"And the learned Mathematician, Reuben Burrow, has no hesitation in pronouncing Stonehenge to be a temple of the black, curly-headed Buddha. [Anacalpysis, Godfrey Higgins - 1833].
 
The concept of Buddha.

The word "Buddha" denotes not just a single religious teacher who lived in a particular epoch, but a type of person, of which there have been many instances in the course of cosmic time. (As an analogy, the term "American President" refers not just to one man, but to everyone who has ever held the office of the American presidency.) The Buddha Siddhartha, Gautama then, is simply one member in the spiritual lineage of Buddha's, which stretches back into the dim recesses of the past and forward into the distant horizons of the future.

Gautama did not claim any divine status for himself, nor did he assert that he was inspired by a god or gods. He claimed to be not a personal savior, but a teacher to guide those who choose to listen.

A Buddha is any human being who has fully awakened to the true nature of existence, whose insight has totally transformed him or her beyond birth, death, and subsequent rebirth, and who is enabled to help others achieve the same enlightenment.

According to Gerald Massey:

'It is certain that the Black Buddha of India was imaged in the 'Negro' type. In the Negro God, whether called Buddha or Sut-Nahsi [Nehesi] we have datum. They carry their color in the proof of their origin. The people who first fashioned and worshipped the divine image in the Negroid mold of humanity must, according to ALL knowledge of human nature, have been Negroes themselves. For blackness is not merely mystical, the features and hair of Buddha belonged to the Black Race and Nahsi [Nehesi] is the Negro name. Volume 1pp.18,218 - A Book of Beginnings.

nubia_02.jpg


Nubia/Nehesi

According to Barbara Walker:

"The Buddha was said to have miraculously begotten by the Lord of Hosts and born to the Virgin Maya. [Maia, Marah, Mari, Maria]."



meriaten.jpg


Meri-Aten daughter of Ankhenaten

Again Gerald Massey and the goddesses:

"The genetrix represented as Dea Multimammia - the Diana of Ephesus, is found as a black figure, nor is the hue mystical ONLY, for the features are Negroid as were those of the black Isis in Egypt."

isis%20a%20horus.jpg


Isis

What does this mean? All the Goddesses, including Mary were African in origin brought to all continents by way of an African Priesthood. India is included when I speak of Africa.

The Five precepts are:

I undertake the precept to refrain from harming living creatures (killing).
I undertake the precept to refrain from taking that which is not freely given (stealing).
I undertake the precept to refrain from sexual misconduct.[ Fornication and Adultery.
I undertake the precept to refrain from incorrect speech (lying, harsh language, slander, idle chit-chat).
I undertake the precept to refrain from intoxicants which lead to loss of mindfulness. [Drunkeness, drug abuse].

What do these tenets remind you of? Here are some example.

The Negative confession?

Hail to thee, great God, Lord of the Two Truths. I have come unto thee, my Lord, that thou mayest bring me to see thy beauty. I know thee, I know thy name, I know the names of the 42 Gods who are with thee in this broad hall of the Two Truths . Behold, I am come unto thee. I have brought thee truth; I have done away with sin for thee. I have not sinned against anyone. I have not mistreated people. I have not done evil instead of righteousness . . .
I have not reviled the God.
I have not laid violent hands on an orphan.
I have not done what the God abominates . . .
I have not killed; I have not turned anyone over to a killer.
I have not caused anyone's suffering . . .
I have not copulated (illicitly); I have not been unchaste.
I have not increased nor diminished the measure, I have not diminished the palm; I have not encroached upon the fields.
I have not added to the balance weights; I have not tempered with the plumb bob of the balance.
I have not taken milk from a child's mouth; I have not driven small cattle from their herbage...
I have not stopped (the flow of) water in its seasons; I have not built a dam against flowing water.
I have not quenched a fire in its time . . .
I have not kept cattle away from the God's property.
I have not blocked the God at his processions.

The Ten Commandments?

1. I am the Lord thy God, which have brought thee out of the land of Egypt, out of the house of bondage.

Thou shalt have no other gods before me.

2. Thou shalt not take the name of the Lord thy God in vain.

3. Thou shalt not make unto thee any graven image, or any likeness of anything that is in heaven above,

or that is in the earth beneath, or that is in the water under the earth. Thou shalt not bow down thyself to them, nor serve them.

4. Remember the sabbath day, to keep it holy.

5. Honor thy father and thy mother: that thy days may be long.

6. Thou shalt not kill.

7. Thou shalt not commit adultery.

8. Thou shalt not steal.

9. Thou shalt not bear false witness against thy neighbor.

10. Thou shalt not covet thy neighbor's house, thou shalt not covet thy neighbor's wife,

nor his manservant, nor his maidservant, nor his ox, nor his ass, nor anything that is thy neighbor's.


The Quran"

2:224: 6:103: No visions can encompass Him, but He encompasses all visions.
14:35: My Lord, make this a peaceful land, and protect me and my children from worshiping idols.
42:11: There is nothing that equals (like) Him.

Do not use God's name in your oaths as an excuse to prevent you from dealing justly.
73:8: Remember the name of your Lord and devote yourself to Him exclusively.
76:25 Glorify the name of your Lord morning and evening.

ALL sacred roads lead to Egypt y way of the first scared codes.

These are the noble truths in Buddhism

Right Understanding
Right Thought
Right Speech
Right Action
Right Livelihood
Right Effort
Right Mindfulness
Right Concentration

rekmv.jpg


The picture of the above statements

There has always been a core priesthood that has exalted the tents of God within a holy life. There has always been a record of a coming Messiah in every land among every people. We would be ignorant to believe that there is not a ROOT to this understanding and that root is in Africa and the priests circumnavigated the world spreading the 'gospel' Peace

I have a question:

Why did the Taliban [Islam] destroy the statues of Buddha in Afghanistan? Did you know some of the Afganistani's claim to be Hebrews?



Afgan%20Buddah.jpg


Afghan Buddha

The Buddha of India was Black, that's why his woolly hair is always shown in small tight curls pepper corn style, or in corn rows. Early sculptures of him clearly portray his Africoid features of wide nose and full lips. "Buddha was adored as a square black stone." 1 In the most ancient temples of Asia and India, the sculptures of the gods and goddesses have Africoid features and woolly hair in pepper corn style and even dreadlocks.

buddha4.jpg


Buddha was a black man, and although a lot of you hate to say it, but currently Arabic-Islam is very racist toward the African!

bambooln.gif


According to the imminent scholar and sage Runoko Rashidi,

"Funan is the name given by Chinese historians to the earliest kingdom of Southeast Asia. Its builders were a Black people known as Khmers, a name that loudly recalls ancient Kmt (Egypt).In remote antiquity the Khmers seem to have established themselves throughout a vast area that encompassed Myanmar, Kampuchea, Laos, Malaysia, Thailand and Vietnam..."

"Although many are startled by the notion, it is absolutely undeniable, that: as the first hominids and modern humans; as simple hunter-gatherers and primitive agriculturists; as heroic warriors and premier civilizers; as sages and priests, poets and prophets, kings and queens; as deities and demons of misty legends and shadowy myths; and yes, even as servants and slaves, the Black race has known Asia intimately from the very beginning. Even today, after an entire series of holocausts and calamities, the numbers of Blacks in Asia approach two-hundred million."

Note who were the Khmer Rouge [ The Red Kmts?] of Vietnam, Cambodia and Thailand? Check out the statues of Angkor below the sacred city of the dreaded Khmer. Looks a lot like the black Buddha's.

angkor1.jpg


Angkor

"IT WAS AFRICANS WHO FIRST INHABITED CHINA AND BEGAN THE FIRST "CHINESE" CIVILIZATION.

HERE IS SOME COMMON SENSE: THE CHINESE ARE OF THE MONGOLOID RACE AND ACCORDING TO CHINESE FINDINGS AS WELL AS MITOCHONDRIAL DNA, THE FIRST PREHISTORIC "CHINESE" WERE IN FACT NEGRITIC AFRICANS."

olmec2.jpg


Olmecs of America

kinte2.gif


I believe all ancient priesthood originated in Africa/Egypt and spread to the four corners of the world. All priests either were initiated, attended, mentored and influenced by the Egyptian Mystery System [University] that later went to Babylon, Persia, India and all the way to America. So far, we know that the priests of Africa circumnavigated the world, how is that possible if we had no culture? Another myth about our wonderful people bites the dust! The Inca, Maya and Aztecs chronicled the god-priests of Egypt coming with gold-tipped spears and leopard skins.

"The priest who held the leading role in a procession or other ceremony, used the cheetah- or leopard skin robe draped across his back."

"The leopard skin appears in scenes from the Old Kingdom onward and was connected with a certain class of priests usually called Sem priests. It could be worn over the normal dress and was held in position by a strap or cord, which was shortened by a kind of slipknot on the shoulder."

"The priests, viziers [see Joseph of the Bible] and certain officials wore long white robes that had a strap over one shoulder, and sem-priests (one of the ranks in the priesthood) wore leopard skins over their robes. "

leopard%20skin.jpg


Sem Priests

leoparskin.jpg


Priest in Leopard Skins

black%20mayans.jpg


Black Mayans with Leopard Skins

zulu%20bridegroom%20ceremony.jpg


Zulu Bridegroom

vishnu.gif


Vishnu

We taught the system to every nation. Godfrey Higgins the writer of Anacalpysis wrote:

"the originals of all the Gods have always been of the black race." The ancients viewed the sacred image of the Divine as Black. And woolly hair was a sign of divinity - called "the hair of the gods."

'In my Essay on The Celtic Druids, I have shewn, that a great nation called Celt�, of whom the Druids were the priests, spread themselves almost over the whole earth, and are to be traced in their rude gigantic monuments from India to the extremities of Britain. Who these can have been but the early individuals of the black nation of whom we have been treating I know not, and in this opinion I am not singular.'

So, to all you Europeans running around trying to be a Druids maybe you need to find a black man and ask him all about it!

stonehenge.jpg


Stonehenge

The Buddha was a caste of Priests that brought particular Gospel to the Middle East, India and Asia. Their root was in Africa 'the land of the Blacks' . When you look to culture and religion Science and Technology everything without exception is African born.



We are the World...we are the Children.





Blessing,

Ekowa



Sources:

Webster's Dictionary

Women's Encyclopedia - Barbara Walker

Internet:

ANACALPYSIS

http://encyclopedia.thefreedictionary.com/Images+of+the+Buddha

Broadband Internet Services Provider, WISP, VOIP, Fiber, Fixed Wireless, Hosting & IT services - SUCCEED.NET

Re: madagascar the explaination for negritos in ch

http://www.angkorwat.org/

http://www.sacredsites.com/asia/cambodia/angkor_wat.html

http://en.wikipedia.org/wiki/Ethic_of_reciprocity

http://www.philae.nu/philae/priesthood.html



Next: Black Russians...and it ain't a drink!
 
Back
Top Bottom