Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa

Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa.

Hakuna waafrika pakukimbilia afrika kila sehemu afrika ni kama ring tone zina fanana kwa ujinga wao.

Hivi mnajua zile muvi za zombie ujumbe ulikuwa afrika itakuwa kama zombies na control na vikundi vya zombie wenye unafuu.

Hii ripoti msije kusema wakina waislamu ni weupe au sijui wakina wakristo ni weupe.

Ndio inatengenezwa sasa ili muwe kimbari wa watu weupe hakuna dini ilipotokea sijui muislamu wala mkristo.

Ni mtazamo ambao dunia leo afrika inaletwa kuwa hivyo.
 
For Real naichukia sana siasa.. siwez ongopa siipendi
 
Back
Top Bottom