Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Sawa....Mstari unaomtenganisha mtu mweusi na nyani ni mwembamba sana. Wenyewe hatujikubali,hatuwezi andika maneno matano bila kuweka huko kiingereza. Mleta mada mwenyewe ana jina la mzungu. Sisi ni manyani yaliyochangamka.
Myahudi anathamini chake...Inauma sana ukifikiria na iyo dini Cjui hata watu wanapata moyo wapi kuamini kuna Mungu angeweza kuruhusu Haya; angalia wayahudi kwa miaka michache tu wamejiinua na Taifa Lao lina nguvu, wakorea, wachina wote walitawaliwa lakini cc hata hasira Hamna tunasikia maneno tu ya kina Lumumba but no development. Inauma sana but mpk nakufa Africa haitokuwa popote.
Lugha ya kiswahili inajitosheleza,kutumia maneno ya lugha nyingine katikati ya sentensi ya kiswahili ni uzwazwa. Tuheshimu vya kwetu. Tujipe heshima sisi wenyewe,tusisubiri kupewa na wengine. Uliwahi kuona muingereza akichanganya kiswahili kwenye maandishi yake? Kuna waingereza wangapi wanashabikia timu zetu huku Tz?Sawa....
Tunaweza kutumia KIZUNGU kwa sababu ya WIN WIN SITUATION ...
Wako wenye majina ya KIMILA pasi na kuwepo na ya weupe na ndio WAPUMBAVU ,WASALITI NA WATUMWA WALIOTOPEA....[emoji1787][emoji1787]
Ni sawa ila hakuna uzuri utaokosa kila sehemu kutokana na kitu kuwa kipya kwako .Broo niko Zanzibar for almost 5 years now.
Nakutana sana na watalii wazungu kutoka mataifa mbali mbali ulaya na kupiga now stori kadhaa.
Believe me wazungu wanasema "Africa is like a paradise".
Wanasema Africa ni nzuri mno kuliko ulaya, wanasema hali hewa tunayo nzuri, arable land ya kutosha, watu wake ni wakarimu bado tofauti na ulaya kila mtu yuko bize na mambo yake kiasi kwamba unaweza kufia ndani na upweke hata mwezi mzima na watu wasijue kuwa umefia ndani.
So, sisi hatujui kuwa tuko sehemu nzuri sana
Bora na ww umeliona hili.. Ni kama ametukusanya uwanjani kutuambia tusikusanyike kuna coronaMstari unaomtenganisha mtu mweusi na nyani ni mwembamba sana. Wenyewe hatujikubali,hatuwezi andika maneno matano bila kuweka huko kiingereza. Mleta mada mwenyewe ana jina la mzungu. Sisi ni manyani yaliyochangamka.
Ni ajabu sana mkuu.Bora na ww umeliona hili.. Ni kama ametukusanya uwanjani kutuambia tusikusanyike kuna corona
ShitholeLeo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.
Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".
Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa kifikra na kiuchumi.
Mpaka naanza kuwa na dhana huenda material yaliyotumika kutokea kwa mwanadamu mweusi yalikuwa tofauti sana na hayana thamani kama ambayo yalitumika kutokea kwa mwanadamu mweupe.
Yeah acheni tu nifikiri hivo maana sioni dalili ya ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya uduni alionao.
Mtu mweusi awe anaishi nje ya AFRICA, popote duniani anapoishi ili mradi ni mweusi,huwa anakuwa treated tofauti kabisa na walio weupe.
Kifupi hatuna tunachoweza kujivunia kwamba sisi ni miongoni mwa watu duniani, kuanzia humu humu kwetu AFRICA tunamoishi hatuna kabisa cha maana tunachoweza ku-offer kwa ulimwengu zaidi ya ujinga na unafiki.
Nakupa mifano dhabiti kuanzia hapa hapa kwetu TANZANIA kwa kuangalia hali za kiuchumi.
Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.
Si mahoteli makubwa makubwa, si viwandani wala biashara za bandarini kote huko ni waarabu au wahindi ndiyo wamiliki, sisi weusi tupo tupo tu yaani tukiamini wanatumia ushirikina kufanikiwa.
Nenda Zanzibar hapo kisiwani wanakosema tanganyika inawanyonya, hakuna kitu.
Zanzibar biashara zote kubwa kubwa ni Bakressa na waarabu/wahindi wenzake, lakini wazawa wao wanaishia kuwa wanunuzi tu au wauza madafu na ukwaju, hakuna biashara za maana ambazo weusi wazawa wanazimiliki.
Nenda kwenye mahoteli makubwa makubwa ya nyota 5 hadi 7 zanzibar uone wamiliki wake, ni wazungu wala siyo weupe, sisi tunaishiwa tu kuajiriwa kama ma-garderner na ma-house keeping kwa miashara ya laki tatu kila mwezi wakati wao wanavuna mabilion ya pesa kwa mda mfupi tu.
Angalia SOUTH AFRICA ambako tunaona ndiyo imeendelea sana kwa hapa Africa, lakini in fact hayo maendeleo ni ya weupe siyo ya weusi.
Data za WOLRD BANK zilizotolewa mwaka 2021 zinaonesha kuwa population ya wazungu south africa ni 10% tu, huku wenyeji wakichukua almost 90% ya population nzima.
Lakini cha kushangaza pamoja na wazungu kuwa wachache south, bado wao ndiyo wanamiliki asilimia 80% ya uchumi wa South Africa, that means the majority of south africans wana miliki only 20% of the whole south african economy.
Sasa hapo kuna pa-kujisifia kuwa weusi wenzetu wa kule wamepiga hatua ?
Kwa kifupi tumewaruhusu wazungu watutumie kujitajirisha hapa hapa kwetu, waumiliki uchumi wetu hapa hapa kwetu alafu sisi tukiishia kuwa vibarua wao, what hell is this ?
Alafu tunawashangilia kabisa na mara pengine sisi wenyewe tuna msaidia kutu-pora sisi.
Sisi watu weusi wakati wa uumbaji kuna kitu itakuwa hakikwenda sawa kabisa.
Sisi kwa sisi hatupendani na kuthaminiana kama wenzetu weupe, kipindi cha utumwa kuna weusi wenzetu walishirikiana na wazungu kuuza weusi wenzao kwa wakoloni, tumepita huko tumekuja sasahivi kwenye uhuru wa bendera, viongozi wetu wa kisiasa wa ki-africa wanawauzia wazungu na kuwa-binafsishia rasilimali zetu kwa bei chee kabisa kwa maslahi yao binfsi bila kuangalia maslahi ya wengi anao waongoza.
Hii ndiyo hali ya mtu mweusi ilivyo, na bado ukienda nchi za wenzetu na rangi yako unabaguliwa na kuonekana siyo binadamu mwenzao, wakati wao wakiwa huku unawachukulia kama malaika, what stupid is this [emoji35]
Yaani nchi za wenzetu wanaungana wawe wamoja na nguvu kwa ajli ya kujenga taifa lenye nguvu kwa ajli ya vizazi vyao, lakini sisi tunachojua ni kutengana,ubinafsi,usaliti, unafiki, mawazo finyu badala ya kufanya kazi unakimbilia kwa mwaposa kwenda kufata sijui udongo, maji na mafuta ya upako, yaani ni ujinga mtupu.
I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe.
Africans we have a lot of excuces in attaining develepment.
To day I declare that, Being black is an Evil
People, or a people shouldn't suffer unless they are guilty of something.To day I declare that, Being black is an Evil
watu weusi matajiri ni wengi sana, sema we na ukoo ndio mtakuwa maskini mileleLeo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.

Km umekata tamaa ya masiha qwe jinyonge tu jiubge na mtetezi wa wanyonge, Nigeria ni pure blacks na ni nchi ya kwanza kwa uchumi Afrika, tajiri wa kwanza Afrika ni pure black Dangote, nchi km Botswana ni blacks na wana uchumi mzuri sana. We una inferiority complex na kweli kwa akili hiyo hutatoboa wakati wenzio wanapambana. Marekani tangia ipate uhuru ina miaka 247, sisi tuna miaka 60, kwa akil yako unafikiri miaka mingine 200 ijayo Afrika itakuwa wapi. Ndugu tuliza boli kila jambo lina pakuanzia, hayo maendeleo yameanza Ulaya yatafika hata Afrika. Hata Ulaya kulikuwa kuna rushwa sana, hayo mambo hayataisha, muhimu tupambane tuiunge serikali yetu mkono kwakufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi stahiki.Leo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.
Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".
Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa kifikra na kiuchumi.
Mpaka naanza kuwa na dhana huenda material yaliyotumika kutokea kwa mwanadamu mweusi yalikuwa tofauti sana na hayana thamani kama ambayo yalitumika kutokea kwa mwanadamu mweupe.
Yeah acheni tu nifikiri hivo maana sioni dalili ya ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya uduni alionao.
Mtu mweusi awe anaishi nje ya AFRICA, popote duniani anapoishi ili mradi ni mweusi,huwa anakuwa treated tofauti kabisa na walio weupe.
Kifupi hatuna tunachoweza kujivunia kwamba sisi ni miongoni mwa watu duniani, kuanzia humu humu kwetu AFRICA tunamoishi hatuna kabisa cha maana tunachoweza ku-offer kwa ulimwengu zaidi ya ujinga na unafiki.
Nakupa mifano dhabiti kuanzia hapa hapa kwetu TANZANIA kwa kuangalia hali za kiuchumi.
Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.
Si mahoteli makubwa makubwa, si viwandani wala biashara za bandarini kote huko ni waarabu au wahindi ndiyo wamiliki, sisi weusi tupo tupo tu yaani tukiamini wanatumia ushirikina kufanikiwa.
Nenda Zanzibar hapo kisiwani wanakosema tanganyika inawanyonya, hakuna kitu.
Zanzibar biashara zote kubwa kubwa ni Bakressa na waarabu/wahindi wenzake, lakini wazawa wao wanaishia kuwa wanunuzi tu au wauza madafu na ukwaju, hakuna biashara za maana ambazo weusi wazawa wanazimiliki.
Nenda kwenye mahoteli makubwa makubwa ya nyota 5 hadi 7 zanzibar uone wamiliki wake, ni wazungu wala siyo weupe, sisi tunaishiwa tu kuajiriwa kama ma-garderner na ma-house keeping kwa miashara ya laki tatu kila mwezi wakati wao wanavuna mabilion ya pesa kwa mda mfupi tu.
Angalia SOUTH AFRICA ambako tunaona ndiyo imeendelea sana kwa hapa Africa, lakini in fact hayo maendeleo ni ya weupe siyo ya weusi.
Data za WOLRD BANK zilizotolewa mwaka 2021 zinaonesha kuwa population ya wazungu south africa ni 10% tu, huku wenyeji wakichukua almost 90% ya population nzima.
Lakini cha kushangaza pamoja na wazungu kuwa wachache south, bado wao ndiyo wanamiliki asilimia 80% ya uchumi wa South Africa, that means the majority of south africans wana miliki only 20% of the whole south african economy.
Sasa hapo kuna pa-kujisifia kuwa weusi wenzetu wa kule wamepiga hatua ?
Kwa kifupi tumewaruhusu wazungu watutumie kujitajirisha hapa hapa kwetu, waumiliki uchumi wetu hapa hapa kwetu alafu sisi tukiishia kuwa vibarua wao, what hell is this ?
Alafu tunawashangilia kabisa na mara pengine sisi wenyewe tuna msaidia kutu-pora sisi.
Sisi watu weusi wakati wa uumbaji kuna kitu itakuwa hakikwenda sawa kabisa.
Sisi kwa sisi hatupendani na kuthaminiana kama wenzetu weupe, kipindi cha utumwa kuna weusi wenzetu walishirikiana na wazungu kuuza weusi wenzao kwa wakoloni, tumepita huko tumekuja sasahivi kwenye uhuru wa bendera, viongozi wetu wa kisiasa wa ki-africa wanawauzia wazungu na kuwa-binafsishia rasilimali zetu kwa bei chee kabisa kwa maslahi yao binfsi bila kuangalia maslahi ya wengi anao waongoza.
Hii ndiyo hali ya mtu mweusi ilivyo, na bado ukienda nchi za wenzetu na rangi yako unabaguliwa na kuonekana siyo binadamu mwenzao, wakati wao wakiwa huku unawachukulia kama malaika, what stupid is this [emoji35]
Yaani nchi za wenzetu wanaungana wawe wamoja na nguvu kwa ajli ya kujenga taifa lenye nguvu kwa ajli ya vizazi vyao, lakini sisi tunachojua ni kutengana,ubinafsi,usaliti, unafiki, mawazo finyu badala ya kufanya kazi unakimbilia kwa mwaposa kwenda kufata sijui udongo, maji na mafuta ya upako, yaani ni ujinga mtupu.
I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe.
Africans we have a lot of excuces in attaining develepment.
To day I declare that, Being black is an Evil
we pambana na mambo yako, hayo mambo yako juu sana ya uwezo wako.Nashangaa sana NIGERIA na ukubwa wake eti ndiyo ya kwanza kuishawishi ECOWAS nzima waingie NIGER kijeshi, ni uijinga mtu kuhangaika na mataifa mengine wakati kwake tu pale boko haramu wamemshinda, magenge ya wahalifu yanateka na kuua watu kila kukicha na wameshindwa kudhibiti hiyo hali alafu leo wapeleke jeshi NIGER kwenda kumrudisha madarakani kibaraka wa weupe.
Au kwa sababu wanajua wakiingia kijeshi NIGER weupe watawaunga mkono ndo maana wanaji-aminisha hivo.
Bora Burkina faso ilisema wazi kuwa, ecowas ikiingia NIGER kijeshi itakuwa pia imetangaza vita na sisi.
Na leo naona NIGER wamefunga anga yao hakuna ndege kupaa, maana yake ndege itakayoonekana angani ni halali yao mpaka pale watakapoifungua anga tena.
Actually tofauti ya nyani na watu wote kw genes ni Km 0. Something percent; pia nyani kw physical appearance is more closer to white people than black people coz ukinyoa nywele zile ni weupe sio weusi; na white people are more hairy than blacks.Mstari unaomtenganisha mtu mweusi na nyani ni mwembamba sana. Wenyewe hatujikubali,hatuwezi andika maneno matano bila kuweka huko kiingereza. Mleta mada mwenyewe ana jina la mzungu. Sisi ni manyani yaliyochangamka.
Ni ukweli mtupu kaka.Inauma sana ukifikiria na iyo dini Cjui hata watu wanapata moyo wapi kuamini kuna Mungu angeweza kuruhusu Haya; angalia wayahudi kwa miaka michache tu wamejiinua na Taifa Lao lina nguvu, wakorea, wachina wote walitawaliwa lakini cc hata hasira Hamna tunasikia maneno tu ya kina Lumumba but no development. Inauma sana but mpk nakufa Africa haitokuwa popote.
Lugha si tatizo, tatizo ni akili zetu.Mstari unaomtenganisha mtu mweusi na nyani ni mwembamba sana. Wenyewe hatujikubali,hatuwezi andika maneno matano bila kuweka huko kiingereza. Mleta mada mwenyewe ana jina la mzungu. Sisi ni manyani yaliyochangamka.