Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una hekari ngapi hapa Africa zinazofanya uzalishaji?Nashangaa sana NIGERIA na ukubwa wake eti ndiyo ya kwanza kuishawishi ECOWAS nzima waingie NIGER kijeshi, ni ujinga mtu kuhangaika na mataifa mengine wakati kwake tu pale boko haramu wamemshinda, magenge ya wahalifu yanateka na kuua watu kila kukicha na wameshindwa kudhibiti hiyo hali alafu leo wapeleke jeshi NIGER kwenda kumrudisha madarakani kibaraka wa weupe.
Au kwa sababu wanajua wakiingia kijeshi NIGER weupe watawaunga mkono ndo maana wanaji-aminisha hivo.
Bora Burkina faso ilisema wazi kuwa, ecowas ikiingia NIGER kijeshi itakuwa pia imetangaza vita na sisi.
Na leo naona NIGER wamefunga anga yao hakuna ndege kupaa, maana yake ndege itakayoonekana angani ni halali yao mpaka pale watakapoifungua anga tena.
Sijui unaota, sijui ni bangi, I just don't know.Km umekata tamaa ya masiha qwe jinyonge tu jiubge na mtetezi wa wanyonge, Nigeria ni pure blacks na ni nchi ya kwanza kwa uchumi Afrika, tajiri wa kwanza Afrika ni pure black Dangote, nchi km Botswana ni blacks na wana uchumi mzuri sana. We una inferiority complex na kweli kwa akili hiyo hutatoboa wakati wenzio wanapambana. Marekani tangia ipate uhuru ina miaka 247, sisi tuna miaka 60, kwa akil yako unafikiri miaka mingine 200 ijayo Afrika itakuwa wapi. Ndugu tuliza boli kila jambo lina pakuanzia, hayo maendeleo yameanza Ulaya yatafika hata Afrika. Hata Ulaya kulikuwa kuna rushwa sana, hayo mambo hayataisha, muhimu tupambane tuiunge serikali yetu mkono kwakufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi stahiki.