Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe
Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Ni hayo tu kwa leo.
Tunaandamana huku JF au?Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe
Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Ni hayo tu kwa leo.
Anzisha forum yenu hko llmumbaThubutu! Nyie pigeni ukulele JF tu iliyonunuliwa na Chadema.
siku hizi ukitofautiana mawazo na mwenzio umeshakuwa msaliti, mnawapachika watanzania wenzenu majina mabaya bila sababu ili mpate sababu ya kuwabambikia kesi za utakatishaji fedha, waozee gerezani!.Tushikamane, achana na wasaliti, sehemu kubwa wanapewa mgawo/ahadi ili kukwamisha maendeleo yetu.
Wazo zuri, ebu tuweke list ya watu wa msiba:Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe
Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Ni hayo tu kwa leo.
wapinzani wapi wanaoombea tupigane vita, hebu wataje hapa niwafahamu leo. Narudia tena kukwambia, hizi tafsiri zenu potofu ndio mnazitumia kuwasababishia watanzania wenzenu mateso, lazima mkubali kukosolewa hakuna mtanzania atakaeliombea taifa mabaya wakati na yeye pamoja na ndugu zake wanaishi Tanzania. Kutofautiana mawazo kusiwafanye muwaone wengine maadui wa taifa, sio kweli, sababu hata wapinzani nao ni watanzania, bora muwaone maadui wa ccm nitawaelewa, sababu ccm sio nchi, ni chama cha siasa tu kama vingine.Tanzania ni nchi changa, uhuru wa watu wake kifedha bado upo chini sana tofauti na mataifa yaliyoendelea. Tatizo lililopo ni kuwa wapinga maendeleo hufanya juhudi za kuhakikisha wanajitengenezea njia za kunufaika wao kwa sababu wengi wanatamani utajiri kama Bakhresa ili hali wao si wafanyabiashara. Nchi zilizoendelea mtu hupinga vitu with objective mind ila huku kwetu wapinzani huwa subjective wanapopinga vitu. Na ndiyo maana wapinzani wa Tanzania wanaombea tupigane vita, wanamuombea rais wetu mabaya, na ndiyo maana sioni haja ya kuwatetea wasaliti
Ninyi ni taifa la wajinga acha mpigwe mtekwe na mkojolewe kabisaNi maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe
Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Ni hayo tu kwa leo.
Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe
Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Ni hayo tu kwa leo.
Kakojoe ulaleNi maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe
Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Ni hayo tu kwa leo.
Soma tena ulichoandika, umeeleza tabia za kakikundi ka kifisadi ndani ya ccm magufuli inclusiveTanzania ni nchi changa, uhuru wa watu wake kifedha bado upo chini sana tofauti na mataifa yaliyoendelea. Tatizo lililopo ni kuwa wapinga maendeleo hufanya juhudi za kuhakikisha wanajitengenezea njia za kunufaika wao kwa sababu wengi wanatamani utajiri kama Bakhresa ili hali wao si wafanyabiashara. Nchi zilizoendelea mtu hupinga vitu with objective mind ila huku kwetu wapinzani huwa subjective wanapopinga vitu. Na ndiyo maana wapinzani wa Tanzania wanaombea tupigane vita, wanamuombea rais wetu mabaya, na ndiyo maana sioni haja ya kuwatetea wasaliti
Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe
Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Ni hayo tu kwa leo.
Siku haya yanayotokea kwa hawa watu yakitokea kwa mtu wa karibu yako unayemfahamu ndo utajua kwanini watu wanalalamikia huu ukatiliLabda wewe si mfuatiliaji. Kila siku wapinzani mfano Zitto na akina mbowe wanaombea tupigane vita. Mh. Rais wetu alipoacha kuonekana kwa ajili ya mpumziko Mbowe alifurahi kwelikweli