Watu wote Waliotajwa na Musiba kwamba wanamkosoa Magufuli Wameshatekwa, je nani anahusika

Watu wote Waliotajwa na Musiba kwamba wanamkosoa Magufuli Wameshatekwa, je nani anahusika

Thubutu! Nyie pigeni ukulele JF tu iliyonunuliwa na Chadema.
Ukipewa talaka, yule mwanaume gani! Kila uendapo unataka watu wakusikilize wewe ukiweweseka kuhusu aliyekupa talaka. Chadema wameingiaje kwenye mada hii!
 
Tanzania ni nchi changa, uhuru wa watu wake kifedha bado upo chini sana tofauti na mataifa yaliyoendelea. Tatizo lililopo ni kuwa wapinga maendeleo hufanya juhudi za kuhakikisha wanajitengenezea njia za kunufaika wao kwa sababu wengi wanatamani utajiri kama Bakhresa ili hali wao si wafanyabiashara. Nchi zilizoendelea mtu hupinga vitu with objective mind ila huku kwetu wapinzani huwa subjective wanapopinga vitu. Na ndiyo maana wapinzani wa Tanzania wanaombea tupigane vita, wanamuombea rais wetu mabaya, na ndiyo maana sioni haja ya kuwatetea wasaliti
Hivi ukipinga au ukikosoa jambo ni kosa?

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Kaungane na mazwazwa wenzio,unaongea huku umejificha nyuma ya id feki
Kamuulize Mange kuhusu kuandamana kwa watanzania,atakupa uzoefu wake
 
Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe

Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.

Ni hayo tu kwa leo.
Labda muandamane kwenye keyboards..
 
Wanaharakati mtandaoni
1609826192.jpeg
 
. Nchi zilizoendelea mtu hupinga vitu with objective mind ila huku kwetu wapinzani huwa subjective wanapopinga vitu.

Kwa mfano mtu akisema Rais na serikali yake wamekosea kununua ndege kwa pesa nyingi, ilhali huduma za kijamii bado ni mbovu sana.

Au mtu akisema Rais na serikali yake wamekuwa wavunja sheria walizotunga - na kutoa mifano halisi ya uvunjaji wa sheria.

Je, huku si kupinga kwa ‘objective’ mind?

Btw, what’s an ‘objective’ mind? And who defines a ‘subjective’ mind? What if the one who defines ‘objective’ mind has a ‘subjective’ mind?
 
Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe

Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.

Ni hayo tu kwa leo.
Mkuu nishindwe kuandamana na familia yangu kwenda kulima shambani. Nikaandamane barabarani kwenda kuomba Musiba Akamatwe kweli!.

Daah Sijui wakati unaandika huu ujumbe ulikuwa umekaa wap?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe

Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.

Ni hayo tu kwa leo.
Kuna haja ya kupata tafsiri ya kutekwa..
Maana kila mtu maarufu, tajiri, mwanaharakati au mwanasiasa akikamatwa na polisi kwa nguvu basi kutekwa.
Issue hapa ni utendaji wa polisi ni wa kizamani na haufanani sheria. Kifupi ni kwamba hivi ndio tunavyokamatwa.
Kwa vile wenzetu maarufu basi tunasema katekwa.
 
Matukio haya UTEKAJI yapo well-organized. Jana nimeona gari (Toyota Land cruiser) ambayo niliitilia shaka. Nikafanya matukio yangu, tukapoteana. Tuendelee kuwa makini sana. Jamaa wapo "more than serious ". Musiba alinitaja kwenye orodha yake ya KUTEKA.. wengine waliotajwa wameendelea kutekwa na kuumizwa.. .
.
1. Semkae Kilonzo
2. Martin Maranja Masese
3. Raphael Ongangi
4. Bollen Ngeti
5. Tito Magoti
6. Fatma Karume
7. Thuwein Makamba
8. Edwin Ndeketela
9. Martin M.M
10. Allan Kiluvia
11. Ansbert Ngurumo
12. Jeffrey Smith .
.
Kwa mujibu wa “mwanaharakati huru wa kumtetea Rais Magufuli”, hiyo ni orodha ya watu anayewatuhumu yeye kumchafua Rais
.
.
Kwenye hiyo orodha, watu kadhaa wamepata msukosuko tayari. The latest target is @titomagoti .. Nani anafuata? Ukweli unaogopwa na watawala
 
Thuweni Makamba ana undugu na January?!
 
Back
Top Bottom