Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ukipewa talaka, yule mwanaume gani! Kila uendapo unataka watu wakusikilize wewe ukiweweseka kuhusu aliyekupa talaka. Chadema wameingiaje kwenye mada hii!Thubutu! Nyie pigeni ukulele JF tu iliyonunuliwa na Chadema.
Hivi ukipinga au ukikosoa jambo ni kosa?Tanzania ni nchi changa, uhuru wa watu wake kifedha bado upo chini sana tofauti na mataifa yaliyoendelea. Tatizo lililopo ni kuwa wapinga maendeleo hufanya juhudi za kuhakikisha wanajitengenezea njia za kunufaika wao kwa sababu wengi wanatamani utajiri kama Bakhresa ili hali wao si wafanyabiashara. Nchi zilizoendelea mtu hupinga vitu with objective mind ila huku kwetu wapinzani huwa subjective wanapopinga vitu. Na ndiyo maana wapinzani wa Tanzania wanaombea tupigane vita, wanamuombea rais wetu mabaya, na ndiyo maana sioni haja ya kuwatetea wasaliti
Kaungane na mazwazwa wenzio,unaongea huku umejificha nyuma ya id fekibasi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Labda muandamane kwenye keyboards..Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe
Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Ni hayo tu kwa leo.
Thubutu! Nyie pigeni ukulele JF tu iliyonunuliwa na Chadema.
. Nchi zilizoendelea mtu hupinga vitu with objective mind ila huku kwetu wapinzani huwa subjective wanapopinga vitu.
Mkuu nishindwe kuandamana na familia yangu kwenda kulima shambani. Nikaandamane barabarani kwenda kuomba Musiba Akamatwe kweli!.Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe
Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Ni hayo tu kwa leo.
Kuna haja ya kupata tafsiri ya kutekwa..Ni maoni yangu tu maana huyu jamaa anajifanya kuwa master plan wa wasiojulikana. Akitaja mtu, then huyo mtu akapotea au kutekwa, watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza msiba amrudiashe
Mwingine ni Mambosasa, huyu naye akiendelea kutumika kinyuma na katiba ya nchi, na ikatokea mtu ametekwa na hajulikani alipo, basi watanzania tuungane kuandamana kumshinikiza mambosasa mpaka amrejeshe.
Ni hayo tu kwa leo.
Tukumbushane hiyo list mkuu,tuanze kuweka TickA controversial question.. Who is next? (Among the list)
Jr[emoji769]
Thuweni Makamba ana undugu na January?!https://www.facebook.com/
Matukio haya UTEKAJI yapo well-organized. Jana nimeona gari (Toyota Land cruiser) ambayo niliitilia shaka. Nikafanya matukio yangu, tukapoteana. Tuendelee kuwa makini sana. Jamaa wapo "more than serious ". Musiba alinitaja kwenye orodha yake ya KUTEKA.. wengine waliotajwa wameendelea kutekwa na kuumizwa.. .
.
1. Semkae Kilonzo
2. Martin Maranja Masese
3. Raphael Ongangi
4. Bollen Ngeti
5. Tito Magoti
6. Fatma Karume
7. Thuwein Makamba
8. Edwin Ndeketela
9. Martin M.M
10. Allan Kiluvia
11. Ansbert Ngurumo
12. Jeffrey Smith .
.
Kwa mujibu wa “mwanaharakati huru wa kumtetea Rais Magufuli”, hiyo ni orodha ya watu anayewatuhumu yeye kumchafua Rais
.
.
Kwenye hiyo orodha, watu kadhaa wamepata msukosuko tayari. The latest target is @titomagoti .. Nani anafuata? Ukweli unaogopwa na watawala