Broo they dont take life the way you do wewe akili yako inawaza material thing kupata furaha ni ngumu angali hierachy of need watu wenye uhakika wa basic needs wako na furaha usitumie misuli sana kuishi haya maisha utazeeka bado kijanaHuyo ni sawa na mtoto mchanga asiyejua chochote kuhusu maisha.
Huwezi kuwa na furaha katika nchi ambayo unalima Kwa bidii unapangiwa bei ya hasara,unasoma Kwa bidii hakuna uhakika wa ajira, and a lot of other factors.
Broo they dont take life the way you do wewe akili yako inawaza material thing kupata furaha ni ngumu angali hierachy of need watu wenye uhakika wa basic needs wako na furaha usitumie misuli sana kuishi haya maisha utazeeka bado kijana
Live life you afford
Sijui unapimaje mpaka unasema hawana akili mtu ambaye anai master nature mtu ambaye magonjwa ya ajabu ajabu hana mtu ambaye anauhakika wa kuishi anyway nkukumbushe kipimo halisi cha akili ni kutoa yote ulofundishwa darasani kile kilichobaki ndo kiwango chako cha akili so kwa ubaya ila nkikusoma binafsi naona kuna kitu kiko low kwenye kufikiria kwakoNdio maana unaambiwa hawana akili. Huwezi kuwa na akili timamu ukasema unafuraha kuishi kijijini kunitafuta elimu umbali mrefu Kila siku, walimu shuleni hakuna, Vitabu,chakula ,maji machafu,with a lot of other challenges halafu Kuna watu wanajinunulia magari ya 600m Kwa pesa zilizotakiwa kutatua matatizo hayo.
Tatizo la afya ya akili linatibika katika hatua za awaliWatu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.
Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.
Huu ni utafiti
Binafsi nimemuelewa jamaa, ukiona una furaha bongo hii jua huna akili...its very simple.Wachache sana watamuelewa mleta uzi bwana So special
Nadhani hii term "hawana akili "ambayo mleta mada kaja nayo nasi tumeenda nayo Moja Kwa Moja ndio shida. Lakini the main theme hapa ni all about negativities ambazo unakutana nazo na wakati una exposure kuzihusu huwezi kuwa na furaha.Sijui unapimaje mpaka unasema hawana akili mtu ambaye anai master nature mtu ambaye magonjwa ya ajabu ajabu hana mtu ambaye anauhakika wa kuishi anyway nkukumbushe kipimo halisi cha akili ni kutoa yote ulofundishwa darasani kile kilichobaki ndo kiwango chako cha akili so kwa ubaya ila nkikusoma binafsi naona kuna kitu kiko low kwenye kufikiria kwako
Kweli kabisa! Mleta mada ni masikini fukara la kutupwa akidhani wote ni kama yeye!Tafuta pesa umaskin wako ndy unakufanya ufikiria hvyo
Sasa tofauti na hapo afanye nini dunia uwanja wa fujo acha watu waishiuko zako kidimbwi umeweka mzinga wako wa hennessy mezani, watoto wazuri wanakutamani kiunoni umening'iniza funguo ya crown BASI UNAJIONA UMEYAPATIA
Uko sahihiBinafsi nimemuelewa jamaa, ukiona una furaha bongo hii jua huna akili...its very simple.
Yaani upo ndani ya vx v8, watu wako wapo na dhiki kubwa, wewe una amani kwa vile tu yako yanaenda, huna akili...and a lot more!!
Ongezea hapo "AU UNAPESA NYINGI".Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.
You are So special . Huu ni ukweli ambao unaumiza.Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.
Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.
Huu ni utafiti
Naunga mkono hojaWatu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.
Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.
Huu ni utafiti
Pengine hujui! Siyo mara zote ufukara unasababisha mtu kutokuwa na furaha na siyo muda wote fedha zinaleta furaha.Kweli kabisa! Mleta mada ni masikini fukara la kutupwa akidhani wote ni kama yeye!