Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Nchi hii yenye watu zaidi ya milioni 60 unataka woote kuwajumuisha kwenye mawazo yako? Really? Omba Mungu akupe furaha, amani, upendo! Katikati ya hadha na maudhi ya nchi hii bado watu wanafuraha! Kwa mfano! Hapa niko KIDIMBWI BEACH, DAR! watu wanatumia hela zao utawaambia nini?Pengine hujui! Siyo mara zote ufukara unasababisha mtu kutokuwa na furaha na siyo muda wote fedha zinaleta furaha.