Watu wote wenye furaha nchini Tanzania hawana akili

Pengine hujui! Siyo mara zote ufukara unasababisha mtu kutokuwa na furaha na siyo muda wote fedha zinaleta furaha.
Nchi hii yenye watu zaidi ya milioni 60 unataka woote kuwajumuisha kwenye mawazo yako? Really? Omba Mungu akupe furaha, amani, upendo! Katikati ya hadha na maudhi ya nchi hii bado watu wanafuraha! Kwa mfano! Hapa niko KIDIMBWI BEACH, DAR! watu wanatumia hela zao utawaambia nini?
 
Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili.

Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania.

Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu.

Huu ni utafiti
Duh jamaa kanitoa kwenye line furaha na huzuni ni vitu vinatakiwa kua karibu yetu nyakati zote
 
Sasa itakuaješŸ¤”
 
Unajua kusoma kwa ufahamu? Rudi tena usome comments zangu na pia usome mada halafu uone ulivyobugi stepu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…