Zaidi ya watu 300 wameripotiwa kupoteza maisha kaskazini magharibi mwa Pakistan kufuatia mvua kubwa na mafuriko yaliyodumu kwa siku mbili, kwa mujibu wa taarifa za maofisa wa eneo hilo. Mvua hizo zimeambatana na maporomoko ya ardhi, radi, maporomoko ya majengo na mafuriko ya ghafla, na kufanya msimu huu wa monsoon kuwa mbaya zaidi mwaka huu.
Tukio hili limetokea katika eneo la milima na mabonde ya Khyber Pakhtunkhwa, Pakistan, ambapo hadi kufikia Jumamosi asubuhi watu 307 walithibitishwa kupoteza maisha. Wilaya ya Buner, iliyoko umbali wa saa tatu na nusu kutoka mji mkuu Islamabad, ndiyo iliyoathirika zaidi, ikiripoti vifo vya watu 184 na uharibifu mkubwa wa mazao, mashamba ya matunda na miundombinu
Waathirika wengi ni wakazi wa maeneo ya vijijini, wakiwemo wanawake na watoto, waliokwama kutokana na mafuriko. Shughuli za uokoaji na kufungua barabara zilizozibwa ziliendelea, huku serikali ikitoa fedha za dharura. Hata hivyo, hali inatarajiwa kuwa mbaya zaidi kwani mvua zinatarajiwa kuendelea hadi Agosti 21, na majirani wa Pakistan India na Nepal pia wakikumbwa na maafa yanayotokana na mvua hizo.
====
More than 300 people are dead in northwest Pakistan after two days of intense rains and floods, local officials said August 16, 2025
Rescue efforts and clearing of blocked roads were ongoing with the release of emergency funds, they said, adding that the heavy rains would continue until August 21.
Cloud bursts, flash floods, lightning strikes, landslides, and the collapse of buildings caused the most deadly spell of this year’s monsoon season. By early Saturday, 307 were confirmed dead, with more people missing, in the hills and mountains of the region of Khyber Pakhtunkhwa, according to the Provincial Disaster Management Authority.
Not only Pakistan but also parts of neighbouring India and Nepal have been hit hard by heavy rains, flooding and other rain-related incidents over the past week
Buner district, a three-and-a-half hour drive north from Pakistan's capital Islamabad in normal times, was among the country's worst-hit, with 184 killed and widespread damage to infrastructure, crops and orchards, local officials said. A cloud burst, fallen trees and flash floods swept away people and possessions.
People, including women and children, remained trapped by floodwaters in some areas of Buner, with 93 bodies recovered
Source: Reuters