Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Hakuna kesi hapo Kwa huyo captain.jeshi watasema tunamshughulikia na mahakama za jeshi ambapo atapigishwa push up mbili tatu na virungu na kumwachia aendelee na maisha yake.polisi hawezi kwenda kumkamata bila ruhusa yao na wakilazimisha polisi wanakula mkong'onto
Mkuuu kwahili swala mpaka BBC hatoboi
 
Hakuna kesi hapo Kwa huyo captain.jeshi watasema tunamshughulikia na mahakama za jeshi ambapo atapigishwa push up mbili tatu na virungu na kumwachia aendelee na maisha yake.polisi hawezi kwenda kumkamata bila ruhusa yao na wakilazimisha polisi wanakula mkong'onto
Una Akili ndogo mno sijui unawezaje kuishi kwa akili hizo
 
Hakuna kesi hapo Kwa huyo captain.jeshi watasema tunamshughulikia na mahakama za jeshi ambapo atapigishwa push up mbili tatu na virungu na kumwachia aendelee na maisha yake.polisi hawezi kwenda kumkamata bila ruhusa yao na wakilazimisha polisi wanakula mkong'onto
Unaijua jamii lakini mkuu? Watu roho zimeshachafukwa
 
mnaozushaaa mzee wetu ashamalizana na uzushi sasa wapambe mshabikie ule uongoo wa asbh mwone mtawafwata hao...
 
Attachments

  • 1723040222861.jpg
    1723040222861.jpg
    294.4 KB · Views: 3
Hivi kwenye hili tukio mheshimiwa @ Dorothy Gwajima hajasema kitu?
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.

Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.

Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.

Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.

Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.

Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.

Pia soma
Anayetakiwa kuthibitisha watuhumiwa wamekamatwa ni msemaji wa polisi, si Waziri wa Mambo ya Ndani.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.

Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.

Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.

Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.

Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.

Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.

Pia soma
Hakuna hata mmoja aliyekamatwa, isitoshe kile kitendo ndicho ambacho huwa wanafanyiwa baadhi ya wanaotekwa na watu wenu wasiojulikana. Kwa hiyo hizo mamlaka zenu wala hazijashtushwa.
 
Back
Top Bottom