Mkuuu kwahili swala mpaka BBC hatoboiHakuna kesi hapo Kwa huyo captain.jeshi watasema tunamshughulikia na mahakama za jeshi ambapo atapigishwa push up mbili tatu na virungu na kumwachia aendelee na maisha yake.polisi hawezi kwenda kumkamata bila ruhusa yao na wakilazimisha polisi wanakula mkong'onto
Una Akili ndogo mno sijui unawezaje kuishi kwa akili hizoHakuna kesi hapo Kwa huyo captain.jeshi watasema tunamshughulikia na mahakama za jeshi ambapo atapigishwa push up mbili tatu na virungu na kumwachia aendelee na maisha yake.polisi hawezi kwenda kumkamata bila ruhusa yao na wakilazimisha polisi wanakula mkong'onto
Hilo jambo tutakuwa tumewakabidhi mahakamaKabisaa mkuuuu inaumiza sana mtupe hata nusu saaa ya kuwashugulikia palee mahakaman wakija jaman
Ombitu mkuu
Amen mtawajulisha hata kaombi chetu pendwa mkuu inauma sanaaa sanaaa nashauri hata atakaeweka humu hio video aende naoo mahakaman dahHilo jambo tutakuwa tumewakabidhi mahakama
Unaijua jamii lakini mkuu? Watu roho zimeshachafukwaHakuna kesi hapo Kwa huyo captain.jeshi watasema tunamshughulikia na mahakama za jeshi ambapo atapigishwa push up mbili tatu na virungu na kumwachia aendelee na maisha yake.polisi hawezi kwenda kumkamata bila ruhusa yao na wakilazimisha polisi wanakula mkong'onto
Dooh!! 😀Amen mtawajulisha hata kaombi chetu pendwa mkuu inauma sanaaa sanaaa nashauri hata atakaeweka humu hio video aende naoo mahakaman dah
Ujaona kuna wenye kupumua kabisa ati wanaulizia vid aiseeDooh!! 😀
Hahaha nisamehe mkuu. Wakulaumiwa hapa ni adrizWatanzania wote ni ndugu moja wewe Pimbi usiwabague kwa udini ambao haupo..
Manjagu wengi ni madomo zege dogo alijua anapata bure.
Anayetakiwa kuthibitisha watuhumiwa wamekamatwa ni msemaji wa polisi, si Waziri wa Mambo ya Ndani.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.
Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.
Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.
Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.
Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.
Pia soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya
Jamaa Hilo ni BarbarianWatanzania wote ni ndugu moja wewe Pimbi usiwabague kwa udini ambao haupo..
Manjagu wengi ni madomo zege dogo alijua anapata bure.
Addddrrrriiiizzzzz aaaaadrrrriiiizzzz aaaaddriiizzJamaa Hilo ni Barbarian
Hakuna hata mmoja aliyekamatwa, isitoshe kile kitendo ndicho ambacho huwa wanafanyiwa baadhi ya wanaotekwa na watu wenu wasiojulikana. Kwa hiyo hizo mamlaka zenu wala hazijashtushwa.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.
Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.
Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.
Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.
Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.
Pia soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Suala la binti aliyefanyiwa ukatili wa kulawitiwa, tunahitaji kauli ya Rais ili Polisi watende haki na Mahakama ifanyekazi yake
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu
- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya
Aaah kumbe inaendelea bac kipande hiko anapeleka moto sikuonaAfu ana kibamia, na nguvu enyewe za kupeleka moto hana, anabaki kubweka bwekaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muhuni tu huyo achana nae ndugu yangu harafu lini unashuka huku upewe pisi ya kizulu uachane kabisaa na hizo mambo au Chuga nikukabidhi mrangi mmoja au mmasai upoze machungu ya Ulaya...Hahaha nisamehe mkuu. Wakulaumiwa hapa ni adriz
Poa mwanangu sana huyo sema anaandika hivyo ili wewe uchafukwe na nyongo...Jamaa Hilo ni Barbarian
Mkuu hebu tupia pm na mimi niichek
Shida unatoka nje ya mada unavurugavuruga mada inapelekea kuwachanganya wasomaji halafu ukihojiwa unapanic hovyohovyo kama mwanamke mwenye mimba.Are you out of mind?
Ni kweli kwamba haujaona mahali nilipowataja hao watu waliohusika na utekaji wa mtu huyo?? Seriously??