Watuhumiwa waliolawiti mtoto Arusha wakosa sifa ya Kushtakiwa kwa kosa la Jinai kwa kutokuwa na umri sahihi

Hatari sana, 5yrs na 9yrs wanaweza kuwaza kumuingilia mwenzao kwa zamu mpaka kumuumiza BIG NO.
Askari wa upepelezi hili litawatafuna wasipofanya kazi yao vizuri au kukiwa na influence ya rushwa.
 
.
Jamii nzima inatakiwa kuwalinda na kuwaheshimu watoto, popote wakati wowote.
Jamii nzima?
Jamii gani?
Kwani huyo mtoto si amelawitiwa na watu miongoni jamii zetu!!

Chukua tahadhari, dada wa kazi, jirani siyo walezi sahihi wa mwanao.

Sijaona popote ulipouliza baba wa mtoto nae alikua wapi wakati mtoto ametelekezwa na mama yake.
Umekaa na mimba miezi 9 na aliyekupa mimba anaendelea na mishe zake, wakati wa kulea mtoto unataka usawa kwa kuwa sasa tunataka kuufuta "mfumo dume" ili tupate 50/50!!
Mama zetu wangekuwa na mtazamo kama huo tungekuwa na makundi makubwa ya mashoga.
Usasa usikupofushe.

Hata huko ambako ushoga umeshamiri chanzo kikubwa ni kuvutana kwenye malezi ili tupate 50/50, hatimaye watoto wanalelewa kwenye vituo maalumu ambavyo havijali kuhusu ushoga.

Kwamba wewe sio mzazi na hautokua mzazi kamwe?

Jukumu la kulinda utu na thamani yake ni jukumu la kila mmoja sio Wazazi pekee.
Mimi ni mzazi.
Kama mzazi nakabiliana na changamoto kama hizo maana kina mama wanataka 50/50 kwenye kila kitu.

Ni kweli, jukumu la kulinda watoto wetu ni la kila mmoja wetu, lakini hilo lisikusahaulishe wajibu wako kama mzazi.
Jamii hii tunayoitegemea ndiyo hiyo inayopokea amri kutoka kwa viongozi wakuu wa kiroho ambao sasa wanaelekea kukubaliana na ushoga. Wanapokea misaada inayoambatana na masharti yanayohimiza ushoga.
Ni vema kuwa waangalifu
 
Hatari sana, 5yrs na 9yrs wanaweza kuwaza kumuingilia mwenzao kwa zamu mpaka kumuumiza BIG NO.
Askari wa upepelezi hili litawatafuna wasipofanya kazi yao vizuri au kukiwa na influence ya rushwa.
Kuna mchezo unaendelea.
Kesi za aina hii zina rushwa ndefu, maana kifungo cha maisha kinahusika.
 
Physically? Yes, Legally? No.
Kijana wa miaka tisa anaweza kufanya mapenzi, ila asiwe na attraction yyte mpaka afike miaka 11-12 i story tofauti.
Inawezekana asilimia mia, kijana wa miaka tisa alikua akimhanisi mwenzake, Hata kwa kutumia uume wake na njia zingine kama vidole, inawezekana saaaana. Na huyo wa miaka mitatu ni rahisi kupokea vitendo hivo na asiweze kusema. Na it's possible maana hawezi kuwa na maneno mengi.
Ni kweli kesi ipo valid hao vijana kumhanisi mwenzao, kupitia matendo wanayoyaona, ila hawana chchte wanachohisi wala kufikiria wao wamefanya tu.
La mwisho, Hakuna kesi katika umri wa hao watoto waliofanya tukio. Zaidi wataenda kufundishwa njia njema.
It's abit torturing kwa huyo mtoto mdogo aisee. Ila hakuna namna, tunawatunze sana vijana wetu. Upo umri wa kuwaachia, si umri mdogo, wanahitaji sana ulinzi naa matunzo.
 
Hao watoto wakule fimbo ambazo watazikumbuka maishani mwao
 
.

Jamii nzima?
Ndio

Jamii gani?
Unayoishi/Ninayoishi/Tunayoishi.

Kwani huyo mtoto si amelawitiwa na watu miongoni jamii zetu!!
Ndio.

Na ndio maana nikasema Jamii nzima inawajibu wa asilimia 100 wa kuwalinda watoto.

Popote, wakati wowote.

Chukua tahadhari, dada wa kazi, jirani siyo walezi sahihi wa mwanao.
Na ndicho nakipinga Kama binaadam anaejali Utu.

Jamii inatakiwa itambue mtoto wa mwenzio ni mtoto wako na mtoto ndiyo Taifa la kesho la jamii yako na sio tofauti.

Haijalishi katelekezwa, kaokotwa ama katupwa, mtoto ni Hazina anapaswa alindwe kwa nguvu zetu sote.

Haya mambo ya kwamba “mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio yanahalalisha mabaradhuli waliopo ndani ya jamii yetu kushika usukani!

(Natumai umeisoma report rasmi ya hali ya maambukizi ya VVU hapa nchini.)

Umekaa na mimba miezi 9 na aliyekupa mimba anaendelea na mishe zake, wakati wa kulea mtoto unataka usawa kwa kuwa sasa tunataka kuufuta "mfumo dume" ili tupate 50/50!!
Yeye kuendelea na mishe zake wakati mimi ni mjamzito haina maana kwamba ni sahihi. Ujauzito ni matokeo ya juhudi zetu pamoja, viuno vyake na vyangu, lazima awajibike.

Kuhitaji uwajibikaji wa baba kwenye malezi ya mtoto (matokeo ya shahawa zake) inahusiana vipi na 50/50?!

Mama zetu wangekuwa na mtazamo kama huo tungekuwa na makundi makubwa ya mashoga.

Matokeo ya unyanyaswaji wa mama zetu na bibi zetu ndio yamezaa 50/50, Hujui?

Usasa usikupofushe.
Umenipofusha wapi?

Hata huko ambako ushoga umeshamiri chanzo kikubwa ni kuvutana kwenye malezi ili tupate 50/50,
Unadhani kila mmoja ni mmeza taarifa bila kufahamu chanzo sahihi?

Nakiomba chanzo cha hizi taarifa zako.

hatimaye watoto wanalelewa kwenye vituo maalumu ambavyo havijali kuhusu ushoga.
Vituo gani?

Unayo majina?

Mimi ni mzazi.
Kama mzazi nakabiliana na changamoto kama hizo maana kina mama wanataka 50/50 kwenye kila kitu.
Ni kweli kwamba Mfumo Dume umekutawala.

Ni kweli, jukumu la kulinda watoto wetu ni la kila mmoja wetu, lakini hilo lisikusahaulishe wajibu wako kama mzazi.
Kumbuka, unaposema Mzazi na baba pia ni sehemu ya hiyo title.

Jamii hii tunayoitegemea ndiyo hiyo inayopokea amri kutoka kwa viongozi wakuu wa kiroho ambao sasa wanaelekea kukubaliana na ushoga.
Hao viongozi wakuu wa kiroho hawajawalazimisha hiyo Jamii kufuata Kila wanachokisema, ni maamuzi yao ya hiyari.

Wanapokea misaada inayoambatana na masharti yanayohimiza ushoga.
Ni vema kuwa waangalifu
 
Sitaki kuhukumu lakini je? Muathirika Ni mtoto wa single mother?
 
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi kukabiliwa na kesi ya jinai kutokana na miaka yao kuwa chini ya umri wa kushtakiwa kwa kosa hilo.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo amethibitisha kuwa kesi hiyo haijafikishwa mahakamani kutokana na umri wa watuhumiwa hao kuwa mdogo kushtakiwa kwa kosa la jinai, mmoja akidaiwa kuwa umri wa miaka 5, na mwingine miaka 9.

"Kulingana na sheria za nchi watuhumiwa wale walikuwa chini ya umri wa kushtakiwa, mmoja alikuwa na miaka mitano na mwingine miaka tisa, mtoto wa miaka mitano huwezi kumshtaki kwa jinai, hilo shauri linashughulikiwa kinamna nyingine wakishirikiana na Ustawi wa Jamii" Kamanda Justine.

Aidha, Mama mzazi wa mtoto huyo amesema kuwa mtoto wake anaendelea kujisaidia damu na amekuwa na maumivu makali huku madaktari wakimwambia hamna dawa za kuweza kumponya mtoto wake.

"Madaktari wananiambia dawa hamna zinazoweza kumponya mtoto, wananiambia labda waje madaktari bingwa, nimeshachoka" Mama wa mtoto.

Pia soma: Arusha: Mtoto wa miaka 3 adaiwa kulawitiwa
Ni dhana ya kisheria kabisa (dol incapaxi).
Kwamba kimaumbile/ kibaiolojia mtoto wa kiume chini ya miaka 12 hajatimia vizuri kuweza kumuingilia mtu(kubaka)kingono.
 
Kuna kitu kikubwa sana kinaendelea hapa. Watoto ni wadogo sana hawa kwamba waliamua tu kufanya jambo kwa ridhaa yao, miaka 5 na miaka 9 ni watoto wadogo sana.

Kuna kitu nina suspect kuwa kinaendelea hapa.
Kuna mwamba analindwa.
 
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi kukabiliwa na kesi ya jinai kutokana na miaka yao kuwa chini ya umri wa kushtakiwa kwa kosa hilo.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo amethibitisha kuwa kesi hiyo haijafikishwa mahakamani kutokana na umri wa watuhumiwa hao kuwa mdogo kushtakiwa kwa kosa la jinai, mmoja akidaiwa kuwa umri wa miaka 5, na mwingine miaka 9.

"Kulingana na sheria za nchi watuhumiwa wale walikuwa chini ya umri wa kushtakiwa, mmoja alikuwa na miaka mitano na mwingine miaka tisa, mtoto wa miaka mitano huwezi kumshtaki kwa jinai, hilo shauri linashughulikiwa kinamna nyingine wakishirikiana na Ustawi wa Jamii" Kamanda Justine.

Aidha, Mama mzazi wa mtoto huyo amesema kuwa mtoto wake anaendelea kujisaidia damu na amekuwa na maumivu makali huku madaktari wakimwambia hamna dawa za kuweza kumponya mtoto wake.

"Madaktari wananiambia dawa hamna zinazoweza kumponya mtoto, wananiambia labda waje madaktari bingwa, nimeshachoka" Mama wa mtoto.

Pia soma: Arusha: Mtoto wa miaka 3 adaiwa kulawitiwa
Ukubwa wa tatizo alilonalo mtoto halilingani na nguvu hamu ya tendo waliyinayo hao watoto labda kama walimeza viagra. Hapa inawezekana kuna mmoja asiyejulikana aliwapasia hao watoto ili waharibu ushahidi.
Kama mtoto wa miaka tisa anaweza kumharibu mtoto mwenzake je, akifika miaka 15 atakuwaje! Mama wa mtoto ashinikize polisi wafanye uchunguzi upya ili apatikane muhusika wa kwanza kabla ya kuwabambikia hao vidume! watoto wawili.
 
Hivi miaka mi5 kadudu kanasimama?
Hata huyo wa miaka 9 ududu wake haujawa stable, achilia hao hivi kinyeo cha mtoto wa miaka 3 kinaweza kupitisha uboo kweliii?

Jamaniii waelezee vizuri, maswali ni mengi mnoo, khaaah
 
Hatari sana, 5yrs na 9yrs wanaweza kuwaza kumuingilia mwenzao kwa zamu mpaka kumuumiza BIG NO.
Askari wa upepelezi hili litawatafuna wasipofanya kazi yao vizuri au kukiwa na influence ya rushwa.
Boraa hata wee usemee hapaa.
 
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi kukabiliwa na kesi ya jinai kutokana na miaka yao kuwa chini ya umri wa kushtakiwa kwa kosa hilo.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo amethibitisha kuwa kesi hiyo haijafikishwa mahakamani kutokana na umri wa watuhumiwa hao kuwa mdogo kushtakiwa kwa kosa la jinai, mmoja akidaiwa kuwa umri wa miaka 5, na mwingine miaka 9.

"Kulingana na sheria za nchi watuhumiwa wale walikuwa chini ya umri wa kushtakiwa, mmoja alikuwa na miaka mitano na mwingine miaka tisa, mtoto wa miaka mitano huwezi kumshtaki kwa jinai, hilo shauri linashughulikiwa kinamna nyingine wakishirikiana na Ustawi wa Jamii" Kamanda Justine.

Aidha, Mama mzazi wa mtoto huyo amesema kuwa mtoto wake anaendelea kujisaidia damu na amekuwa na maumivu makali huku madaktari wakimwambia hamna dawa za kuweza kumponya mtoto wake.

"Madaktari wananiambia dawa hamna zinazoweza kumponya mtoto, wananiambia labda waje madaktari bingwa, nimeshachoka" Mama wa mtoto.

Pia soma: Arusha: Mtoto wa miaka 3 adaiwa kulawitiwa
Mtoto wa miaka mitano analawiti hadi mtoto awe anatoka damu? Hata huyo wa miaka 9? Hapo kuna mtu mzima kafanya hio unyama, atafutwe!
 
Back
Top Bottom