Watuhumiwa waliolawiti mtoto Arusha wakosa sifa ya Kushtakiwa kwa kosa la Jinai kwa kutokuwa na umri sahihi

Hivi miaka mi5 kadudu kanasimama?
Kwa vitoto vya siku hizi siwezi shangaa. Baba zao wanameza Viagra mixer kunywa alkasusi na mchuzi wa pweza material lazima yakae kwenye damu😂😂😂

Siku hizi unaenda meza ya pweza unakutana na dogo miaka 10 anakunywa mchuzi wa pweza.
 
Hao watoto ni kukaa nao kujua wamepata wapi idea na ujuzi wa hivyo vitu. Hiyo kazi waachiwe wataalamu watuletee majibu.

Wazazi wamekuwa wazembe sana siku hizi. Hapo ukiuliza kisingizio ni kutafuta maisha utadhani hata maisha yenyewe wanayapata mwaka wa 15 huu.
 
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi kukabiliwa na kesi ya jinai kutokana na miaka yao kuwa chini ya umri wa kushtakiwa kwa kosa hilo.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo amethibitisha kuwa kesi hiyo haijafikishwa mahakamani kutokana na umri wa watuhumiwa hao kuwa mdogo kushtakiwa kwa kosa la jinai, mmoja akidaiwa kuwa umri wa miaka 5, na mwingine miaka 9.

"Kulingana na sheria za nchi watuhumiwa wale walikuwa chini ya umri wa kushtakiwa, mmoja alikuwa na miaka mitano na mwingine miaka tisa, mtoto wa miaka mitano huwezi kumshtaki kwa jinai, hilo shauri linashughulikiwa kinamna nyingine wakishirikiana na Ustawi wa Jamii" Kamanda Justine.

Aidha, Mama mzazi wa mtoto huyo amesema kuwa mtoto wake anaendelea kujisaidia damu na amekuwa na maumivu makali huku madaktari wakimwambia hamna dawa za kuweza kumponya mtoto wake.

"Madaktari wananiambia dawa hamna zinazoweza kumponya mtoto, wananiambia labda waje madaktari bingwa, nimeshachoka" Mama wa mtoto.

Pia soma: Arusha: Mtoto wa miaka 3 adaiwa kulawitiwa
kwa umri huo wanaweza kuwa wamesingiziwa, hata uume ulisimamaje hadi walawiti?
 
Huyo wa miaka mitano kazingiziwa, kazi kaifanya huyo wa wa miaka tisa ndiye balehe inadowloud 😳😕
 
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi kukabiliwa na kesi ya jinai kutokana na miaka yao kuwa chini ya umri wa kushtakiwa kwa kosa hilo.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo amethibitisha kuwa kesi hiyo haijafikishwa mahakamani kutokana na umri wa watuhumiwa hao kuwa mdogo kushtakiwa kwa kosa la jinai, mmoja akidaiwa kuwa umri wa miaka 5, na mwingine miaka 9.

"Kulingana na sheria za nchi watuhumiwa wale walikuwa chini ya umri wa kushtakiwa, mmoja alikuwa na miaka mitano na mwingine miaka tisa, mtoto wa miaka mitano huwezi kumshtaki kwa jinai, hilo shauri linashughulikiwa kinamna nyingine wakishirikiana na Ustawi wa Jamii" Kamanda Justine.

Aidha, Mama mzazi wa mtoto huyo amesema kuwa mtoto wake anaendelea kujisaidia damu na amekuwa na maumivu makali huku madaktari wakimwambia hamna dawa za kuweza kumponya mtoto wake.

"Madaktari wananiambia dawa hamna zinazoweza kumponya mtoto, wananiambia labda waje madaktari bingwa, nimeshachoka" Mama wa mtoto.

Pia soma: Arusha: Mtoto wa miaka 3 adaiwa kulawitiwa

Kesi hii inaonekana wazi kabisa kwamba imetengenezwa, a fabricated case!
 
Matokeo ya 50 kwa 50.
Mama badala ya kulea, yuko kutafuta
 
Back
Top Bottom