Kuna kitu kikubwa sana kinaendelea hapa. Watoto ni wadogo sana hawa kwamba waliamua tu kufanya jambo kwa ridhaa yao, miaka 5 na miaka 9 ni watoto wadogo sana.Hivi miaka mi5 kadudu kanasimama?
Jamii nzima?Jamii nzima inatakiwa kuwalinda na kuwaheshimu watoto, popote wakati wowote.
Umekaa na mimba miezi 9 na aliyekupa mimba anaendelea na mishe zake, wakati wa kulea mtoto unataka usawa kwa kuwa sasa tunataka kuufuta "mfumo dume" ili tupate 50/50!!Sijaona popote ulipouliza baba wa mtoto nae alikua wapi wakati mtoto ametelekezwa na mama yake.
Mimi ni mzazi.Kwamba wewe sio mzazi na hautokua mzazi kamwe?
Jukumu la kulinda utu na thamani yake ni jukumu la kila mmoja sio Wazazi pekee.
Kuna mchezo unaendelea.Hatari sana, 5yrs na 9yrs wanaweza kuwaza kumuingilia mwenzao kwa zamu mpaka kumuumiza BIG NO.
Askari wa upepelezi hili litawatafuna wasipofanya kazi yao vizuri au kukiwa na influence ya rushwa.
Ndio.
Jamii nzima?
Unayoishi/Ninayoishi/Tunayoishi.Jamii gani?
Ndio.Kwani huyo mtoto si amelawitiwa na watu miongoni jamii zetu!!
Na ndicho nakipinga Kama binaadam anaejali Utu.Chukua tahadhari, dada wa kazi, jirani siyo walezi sahihi wa mwanao.
Yeye kuendelea na mishe zake wakati mimi ni mjamzito haina maana kwamba ni sahihi. Ujauzito ni matokeo ya juhudi zetu pamoja, viuno vyake na vyangu, lazima awajibike.Umekaa na mimba miezi 9 na aliyekupa mimba anaendelea na mishe zake, wakati wa kulea mtoto unataka usawa kwa kuwa sasa tunataka kuufuta "mfumo dume" ili tupate 50/50!!
Umenipofusha wapi?Usasa usikupofushe.
Unadhani kila mmoja ni mmeza taarifa bila kufahamu chanzo sahihi?Hata huko ambako ushoga umeshamiri chanzo kikubwa ni kuvutana kwenye malezi ili tupate 50/50,
Vituo gani?hatimaye watoto wanalelewa kwenye vituo maalumu ambavyo havijali kuhusu ushoga.
Ni kweli kwamba Mfumo Dume umekutawala.Mimi ni mzazi.
Kama mzazi nakabiliana na changamoto kama hizo maana kina mama wanataka 50/50 kwenye kila kitu.
Kumbuka, unaposema Mzazi na baba pia ni sehemu ya hiyo title.Ni kweli, jukumu la kulinda watoto wetu ni la kila mmoja wetu, lakini hilo lisikusahaulishe wajibu wako kama mzazi.
Hao viongozi wakuu wa kiroho hawajawalazimisha hiyo Jamii kufuata Kila wanachokisema, ni maamuzi yao ya hiyari.Jamii hii tunayoitegemea ndiyo hiyo inayopokea amri kutoka kwa viongozi wakuu wa kiroho ambao sasa wanaelekea kukubaliana na ushoga.
Wanapokea misaada inayoambatana na masharti yanayohimiza ushoga.
Ni vema kuwa waangalifu
Ni dhana ya kisheria kabisa (dol incapaxi).Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi kukabiliwa na kesi ya jinai kutokana na miaka yao kuwa chini ya umri wa kushtakiwa kwa kosa hilo.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo amethibitisha kuwa kesi hiyo haijafikishwa mahakamani kutokana na umri wa watuhumiwa hao kuwa mdogo kushtakiwa kwa kosa la jinai, mmoja akidaiwa kuwa umri wa miaka 5, na mwingine miaka 9.
"Kulingana na sheria za nchi watuhumiwa wale walikuwa chini ya umri wa kushtakiwa, mmoja alikuwa na miaka mitano na mwingine miaka tisa, mtoto wa miaka mitano huwezi kumshtaki kwa jinai, hilo shauri linashughulikiwa kinamna nyingine wakishirikiana na Ustawi wa Jamii" Kamanda Justine.
Aidha, Mama mzazi wa mtoto huyo amesema kuwa mtoto wake anaendelea kujisaidia damu na amekuwa na maumivu makali huku madaktari wakimwambia hamna dawa za kuweza kumponya mtoto wake.
"Madaktari wananiambia dawa hamna zinazoweza kumponya mtoto, wananiambia labda waje madaktari bingwa, nimeshachoka" Mama wa mtoto.
Pia soma: Arusha: Mtoto wa miaka 3 adaiwa kulawitiwa
Kuna mwamba analindwa.Kuna kitu kikubwa sana kinaendelea hapa. Watoto ni wadogo sana hawa kwamba waliamua tu kufanya jambo kwa ridhaa yao, miaka 5 na miaka 9 ni watoto wadogo sana.
Kuna kitu nina suspect kuwa kinaendelea hapa.
Ukubwa wa tatizo alilonalo mtoto halilingani na nguvu hamu ya tendo waliyinayo hao watoto labda kama walimeza viagra. Hapa inawezekana kuna mmoja asiyejulikana aliwapasia hao watoto ili waharibu ushahidi.Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi kukabiliwa na kesi ya jinai kutokana na miaka yao kuwa chini ya umri wa kushtakiwa kwa kosa hilo.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo amethibitisha kuwa kesi hiyo haijafikishwa mahakamani kutokana na umri wa watuhumiwa hao kuwa mdogo kushtakiwa kwa kosa la jinai, mmoja akidaiwa kuwa umri wa miaka 5, na mwingine miaka 9.
"Kulingana na sheria za nchi watuhumiwa wale walikuwa chini ya umri wa kushtakiwa, mmoja alikuwa na miaka mitano na mwingine miaka tisa, mtoto wa miaka mitano huwezi kumshtaki kwa jinai, hilo shauri linashughulikiwa kinamna nyingine wakishirikiana na Ustawi wa Jamii" Kamanda Justine.
Aidha, Mama mzazi wa mtoto huyo amesema kuwa mtoto wake anaendelea kujisaidia damu na amekuwa na maumivu makali huku madaktari wakimwambia hamna dawa za kuweza kumponya mtoto wake.
"Madaktari wananiambia dawa hamna zinazoweza kumponya mtoto, wananiambia labda waje madaktari bingwa, nimeshachoka" Mama wa mtoto.
Pia soma: Arusha: Mtoto wa miaka 3 adaiwa kulawitiwa
Hata huyo wa miaka 9 ududu wake haujawa stable, achilia hao hivi kinyeo cha mtoto wa miaka 3 kinaweza kupitisha uboo kweliii?Hivi miaka mi5 kadudu kanasimama?
Huu uongo jamaniiii,Katoto tangu kanazaliwa kadudu kanainuka.
Miaka 5 akiona mapaja ya msichana kadudu kanainuka fresh tu[emoji41]
Boraa hata wee usemee hapaa.Hatari sana, 5yrs na 9yrs wanaweza kuwaza kumuingilia mwenzao kwa zamu mpaka kumuumiza BIG NO.
Askari wa upepelezi hili litawatafuna wasipofanya kazi yao vizuri au kukiwa na influence ya rushwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao watoto wakule fimbo ambazo watazikumbuka maishani mwao
Kwa hisia zipiNdiyo
Mtoto wa miaka mitano analawiti hadi mtoto awe anatoka damu? Hata huyo wa miaka 9? Hapo kuna mtu mzima kafanya hio unyama, atafutwe!Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi kukabiliwa na kesi ya jinai kutokana na miaka yao kuwa chini ya umri wa kushtakiwa kwa kosa hilo.