chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kitwala aliwahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Mkoani Tabora, enzi zake alisimamisha kazi makumi ya watumishi na kuwafukuzisha kazi.
SSH akapita naye kama mwewe, akawa raia wa kawaida.
Kumbe chini ya kapeti akaomba awe Afisa sheria pale PSSSF, cheo Cha chini kabisa kutoka katika ukuu wa Wilaya. Hakika njaa mwanaharamu. Fikiria mtu aliyekuwa mkuu wa Wilaya aanze kutumwa mafaili na maafisa wengi walio juu yake.
Hawa jamaa enzi zao walikuwa hawaheshimu mahakama, Leo wanazikimbilia.
Tuishi vizuri na watu ndugu walimwengu, kesho ni Siri kubwa.