Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
sex is necessary but not a necessity. Si lazima sex iwe lazima. wapo wanaoishi bila sex na wanaishi kwa amani, raha na miaka mingi.Tendo la ndoa ni muhimu sana kwa mwandamu aliyekamilika, hayo mengine ni stress tu.