Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Naonba kuuliza hapahapa, hivi kuna dawa yenye kutibu kinywa? Mfano harufu mbaya mdomoni na meno kuuma.
 
Mi nayotumia ni ina alama nyeupe chini ni nini
 
unajiuliza kuhusu maji ya bombani?yanatiwa nn?
 
Ndo maana wazee wetu walitumia miswaki ya miti. mia...
 
umenikumbusha kua sijapiga mswaki leo dawa imekwisha na sijanunua nyingine.. ahsantee sana kwa ukumbusho.. ila leo ndo basi nitapiga kesho inshaallah

Duh..we kiboko...
 
Dah,mkuu mie naona hapa whitedent herbal ndo kila kitu, nakula natural+medicine ...pamoja sana!
 
Ndugu COARTEM leo umeniangusha. Ulipaswa uangalie ukweli kabla huja post taarifa kama hiz. Watu ni rahisi sana kudanganywa. Wengi wameshachukua taarifa hizi na kuzisambaza. Hii message ni hoax. Imekuwa inazunguka mara kwa mara kwenye mitandao. Hiyo square kwenye tube ya dawa ya meno haihusiani na kilichomo ndani ya tube. Hizo square ni alama zinazotumika katika uzalishaji. Wataalamu wanaziita "eye marks" na husomwa na sensor ya mashine ili kuzitambua na kuzipanga tube kwa ajili ya tendo fulani, mfano kukunja n.k. Mara nyingi hiyo rangi ya hiyo square, pia ni rangi ya kitu kingine kilichochapishwa kwenye hiyo tube. Moderator na akina Mike McKee nadhani huu ni muda muafaka wa kuwatafuta volunteers wa ku moderate taarifa fulani kulingana na ujuvi wa moderators. JF ni kitovu cha elimu, tusiwape members na visitors elimu isiyo sahihi.
Kaka COARTEM naamini uki search na kukuta ni hoax utarudi juu na kuweka updates...
 
Last edited by a moderator:
Sio dawa za meno tu bali hata baadhi ya wanawake hutumia chemicals ili kurudisha bikra feki na wewe mwanaume ukikutana nayo unashangilia kumbe hujui kuwa umeshaliwa. Kwa hiyo kila kitu siku hizi ni full chemicals hata bikra
 
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.

Tumetoka mbali.

Bibi Faiza, siyo maxim ni maxam.
Je unakumbuka dawa ya meno [size=+2]GreenLeaf?[/size]
 
mimi nimezaliwa mwaka 1970 lakini muda wote nimekuwa nikitumia COLGATE sasa sijui wewe ulikuwa unaishi wapi? mimi nilikuwa mwanza, isije ukawa na chuki na mwl.

huyo dada ni mfia dini" anachuki sana ata dini yake hairuhusu chuli lakin yeye kutwa ni chuki.
 
Hii ni post ya kwanza yenye manufaa kwa mwaka huu kwangu mimi.
 
İ am wondering tunapozungumzia natural kama inawezekana hasa ukizingatia malengo ya matumizi ya hizi dawa za meno. Natural in what context na twajua zinaandaliwa viwandani na kuwekwa viwango mahsusi vya kemikali ili kuleta tija inayokusudiwa? Natural ya uhakika ni miti kama mswaki au ''mdau''. Pengine tunahitaji maelezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…