Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenikumbusha kua sijapiga mswaki leo dawa imekwisha na sijanunua nyingine.. ahsantee sana kwa ukumbusho.. ila leo ndo basi nitapiga kesho inshaallah
Ndugu COARTEM leo umeniangusha. Ulipaswa uangalie ukweli kabla huja post taarifa kama hiz. Watu ni rahisi sana kudanganywa. Wengi wameshachukua taarifa hizi na kuzisambaza. Hii message ni hoax. Imekuwa inazunguka mara kwa mara kwenye mitandao. Hiyo square kwenye tube ya dawa ya meno haihusiani na kilichomo ndani ya tube. Hizo square ni alama zinazotumika katika uzalishaji. Wataalamu wanaziita "eye marks" na husomwa na sensor ya mashine ili kuzitambua na kuzipanga tube kwa ajili ya tendo fulani, mfano kukunja n.k. Mara nyingi hiyo rangi ya hiyo square, pia ni rangi ya kitu kingine kilichochapishwa kwenye hiyo tube. Moderator na akina Mike McKee nadhani huu ni muda muafaka wa kuwatafuta volunteers wa ku moderate taarifa fulani kulingana na ujuvi wa moderators. JF ni kitovu cha elimu, tusiwape members na visitors elimu isiyo sahihi.
Sio dawa za meno tu bali hata baadhi ya wanawake hutumia chemicals ili kurudisha bikra feki na wewe mwanaume ukikutana nayo unashangilia kumbe hujui kuwa umeshaliwa. Kwa hiyo kila kitu siku hizi ni full chemicals hata bikra
Ooohhh...very good; Hivi KIWI ni dawa ya kiumbe gani?
Duh..we kiboko...
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.
Tumetoka mbali.
mimi nimezaliwa mwaka 1970 lakini muda wote nimekuwa nikitumia COLGATE sasa sijui wewe ulikuwa unaishi wapi? mimi nilikuwa mwanza, isije ukawa na chuki na mwl.