Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ukweli ndiyo "udini" basi upo sahihi.
Asante mkuu!
Baada ya kusoma uzi huu, nimejaribu kuchungulia dawa ya meno niliyonunua dukani hivi juzi.
Mbona nimetamani niitupe!
Inaitwa: Extra Fresh [size=+2]Angola[/size] toothpaste.
Label inaonyesha: All Chemicals.
Sidhani kama kweli, inawezekana wao alama zao ni std tofauti na hii ya hapaTeheee kumbe na hili lidawa la Forever living wanajidai halina chemical ni mimea mitupu kumbe na lenyewe ni mikemikali mitupu pamoja na misifa na bei ghali
Sidhani kama kweli, inawezekana wao alama zao ni std tofauti na hii ya hapa
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.
Tumetoka mbali.
Najua sana kama ni nyeusi, mm ni mtumiaji wa hizo product, nachomaanisha usikurupuke kujiaaminishaMkuu Niko ofisini, ningekuwa nyumbani ningekupigia picha uone kuwa hiyo dawa ina black label
Unless otherwise uniambie ina standard nyingine, if so, ni standard ipi hiyo??
Pia from what I know standards za vitu kama hivi huwa vinakuwa moja kimataifa ili kuweka mfanano na hata mtu akitoka nchi nyingine asipate mkanganyiko
We inaonekana ni mtu mzima ka mimi, lakini akili yako mbona haifanani na yangu?
Inaonekana unafaidika na huu utawala.
Nimeweza kuandika hivyo kwa kuwa tangu umeingia hapa JF wewe lawama zako huwa unazipeleka kwa Nyerere na Mkapa pekee na sijawahi kukuona umeandika lolote baya lililofanywa na Mwinyi au Kikwete.isitoshe hata lile shambulizi la westgate mail pale Kenya wewe ulionyesha kulifurahia kwa kuwa tu waliolifanya lile shambulizi ni waislam.
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.
Tumetoka mbali.
Kumbe wewe ni kibibi mtu mzima!
Hapana, mimi si "kibibi", mimi ni bibi na mtu mzima.
Labda bibiyo ndiyo kibibi, si mimi.
Je, watengenezaji wanakuwa wakweli kiasi cha kuweka label /rangi inayotakiwa?
akili za kuambiwa changanya na zako...
Asante mkuu!
Baada ya kusoma uzi huu, nimejaribu kuchungulia dawa ya meno niliyonunua dukani hivi juzi.
Mbona nimetamani niitupe!
Inaitwa: Extra Fresh [size=+2]Angola[/size] toothpaste.
Label inaonyesha: All Chemicals.