Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Duh! Itabidi kuomba kabla kuswaki meno ili tusipatwe madhara ya sumu kama tunavyoomba kabla kunywa au kula{LUKE 10:18~19
 
Kama ukweli ndiyo "udini" basi upo sahihi.

Nimeweza kuandika hivyo kwa kuwa tangu umeingia hapa JF wewe lawama zako huwa unazipeleka kwa Nyerere na Mkapa pekee na sijawahi kukuona umeandika lolote baya lililofanywa na Mwinyi au Kikwete.isitoshe hata lile shambulizi la westgate mail pale Kenya wewe ulionyesha kulifurahia kwa kuwa tu waliolifanya lile shambulizi ni waislam.
 
Hata mimi aiseee,! Duh

Asante mkuu!
Baada ya kusoma uzi huu, nimejaribu kuchungulia dawa ya meno niliyonunua dukani hivi juzi.
Mbona nimetamani niitupe!
Inaitwa: Extra Fresh [size=+2]Angola[/size] toothpaste.
Label inaonyesha: All Chemicals.
 
Teheee kumbe na hili lidawa la Forever living wanajidai halina chemical ni mimea mitupu kumbe na lenyewe ni mikemikali mitupu pamoja na misifa na bei ghali
Sidhani kama kweli, inawezekana wao alama zao ni std tofauti na hii ya hapa
 
Sidhani kama kweli, inawezekana wao alama zao ni std tofauti na hii ya hapa

Mkuu Niko ofisini, ningekuwa nyumbani ningekupigia picha uone kuwa hiyo dawa ina black label

Unless otherwise uniambie ina standard nyingine, if so, ni standard ipi hiyo??

Pia from what I know standards za vitu kama hivi huwa vinakuwa moja kimataifa ili kuweka mfanano na hata mtu akitoka nchi nyingine asipate mkanganyiko
 
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.

Tumetoka mbali.

We inaonekana ni mtu mzima ka mimi, lakini akili yako mbona haifanani na yangu?
Inaonekana unafaidika na huu utawala.
 
Najua sana kama ni nyeusi, mm ni mtumiaji wa hizo product, nachomaanisha usikurupuke kujiaaminisha
kua hiyo dawa ni ALL CHEMICAL... kua na sumile ndugu
 
We inaonekana ni mtu mzima ka mimi, lakini akili yako mbona haifanani na yangu?
Inaonekana unafaidika na huu utawala.

Sasa wewe unataka akili yangu iwe kama Kaka Jambazi? Makubwa haya. Mimi siwezi kuwa na akili ya kijambazi hata kidogo.
 
Nimeweza kuandika hivyo kwa kuwa tangu umeingia hapa JF wewe lawama zako huwa unazipeleka kwa Nyerere na Mkapa pekee na sijawahi kukuona umeandika lolote baya lililofanywa na Mwinyi au Kikwete.isitoshe hata lile shambulizi la westgate mail pale Kenya wewe ulionyesha kulifurahia kwa kuwa tu waliolifanya lile shambulizi ni waislam.

Ikiwa maana za udini ndiyo hizo basi utaumia sana.
 
Chemical ndio zinatufanya tuishi, mfano Dawa nyingi tunazotumia kutibu Magonjwa ni hizohizo za kemikali Jambo linaloangaliwa ni kupambana na tatizo lililopo kwa wakati ule. Ukileta ubishi Kazi kwako! hii ni kwa sababu tumeacha Asili na vya Asili.
 
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.

Tumetoka mbali.

Kumbe wewe ni kibibi mtu mzima!
 
Je, watengenezaji wanakuwa wakweli kiasi cha kuweka label /rangi inayotakiwa?
 
Asante sana ndugu kwa elimu hii! Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) sijui kama wamewahi kutupa elimu hii!!!!
 
akili za kuambiwa changanya na zako...

kuna mambo ya kitalaam ni ngumu kuchanganya na zangu kwa sababu sijui chochote, hili ni jukwaa la afya tunawategemea watalaam katika mambo hayo, kwa mfano kuna madaktari hutoa ushauri wa kiafya kwa ajili ya faida ya jamii nzima mfano Dr Riwa na wengine wengi hawatumii hiyo rugha kuwa mtu achanganye na zake, hiyo ni ya kisiasa. binti wa kitanga tunaomba mchango wako kwa kile ambacho unakijua
 
Last edited by a moderator:
Origins: This item about markings on toothpaste tubes is yet another Internet-circulated consumer tip that supposedly provides useful information about a common class of product by revealing data that is available only to those "in the know" who are cognizant of where to look for hidden indicators and how to interpret them. And as is typical of such tips, the claim about what these indicators supposedly reveal is completely wrong.
According to this bit of online lore, the colored squares or rectangular bars found on the crimp at the closed end of toothpaste tubes signify the composition of the product contained therein: whether its ingredients are "natural" or "chemical," and whether the toothpaste includes "medicine." (These terms are really too vague to be useful, as even "natural" products are made up of "chemicals," and "medicine" is too non-specific a term to be informative.)
However, those colored squares on the crimps of those tubes have nothing to do with the formulation of the toothpaste inside. They're an artifact of the manufacturing process known as " eye marks " or " color marks ," printed marks that can be read by light beam sensors and typically identify where product packaging is to be cut or folded as connected units stream through machinery at high speed:
Eye mark: A printed rectangular mark most often found along the edge of webstock that can be identified by an electric eye. The mark identifies a point on the web where an individual package is to be cut.
The colors of eye mark registers are not limited to the ones mentioned above (and may not necessarily be visible on the finished product), and the different colors simply signify different types of packaging or different types of sensors.
The best way to ascertain the composition of a given brand of toothpaste is by reading the ingredients information printed on the toothpaste box and/or tube.
Last updated: 8 February 2015
 
Asante mkuu!
Baada ya kusoma uzi huu, nimejaribu kuchungulia dawa ya meno niliyonunua dukani hivi juzi.
Mbona nimetamani niitupe!
Inaitwa: Extra Fresh [size=+2]Angola[/size] toothpaste.
Label inaonyesha: All Chemicals.

Itakua uliuziwa kwa bei ya promotion kwenye bus hiyo.
 
Back
Top Bottom