Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Ubishi mwingine ambao hauna maana.
Mswaki tangu lini ukawa na dawa!
Hivi non-living material uwa ina dawa?

poor you, hujui kuna dawa za kusafishia vigae, pia kuna dawa ya viatu, pia kuna dawa ya kuunganisha kioo kilichoweka crack.
 
FaizaFoxy. Uko sahihi kabisa. Nilikuwa na duka la chakula tangu 1971. Hizi ni za magendo. Wafanyabiashara wadogo wanazipitisha njia panya.

Safi sana mjasiriamali, bila shaka sasa hivi utakuwa unamiliki vinu vya kusaga nafaka kama vya Bakhressa....
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana, nnauhakika ulikuwa hujuwi wazee wako wanazitoa wapi, wewe unatumia tu.
Walizinunua dukani, wewe unafikiri zilishushwa toka mbinguni? Kama bei yake ilikuwa juu iliyoitwa na wengine bei ya kuruka that's another issue.
 
fluoride ni chemical au medicine?
 
Nimechoka, ina maana dawa za forever ni all chemicals manake zina mstari mweusi
 

False Claim - Colour of Squares on Tubes Denotes Chemical Content
Color-coded toothpaste is ‘utter nonsense’ | Inquirer Lifestyle
 
Ubishi mwingine ambao hauna maana.
Mswaki tangu lini ukawa na dawa!
Hivi non-living material uwa ina dawa?

Kuna watu wengine wanajifanya wajuaji wanaleta ujuaji kwenye vitu ambavyo hata sio vya msingi ovyo kweli yan
 
False Claim - Colour of Squares on Tubes Denotes Chemical Content
Color-coded toothpaste is ‘utter nonsense’ | Inquirer Lifestyle
 
Nimechoka, ina maana dawa za forever ni all chemicals manake zina mstari mweusi

Hahahaha, hujachoka peke yako na mi nlikua nasukutua asubuhi hii nkaangalia iyo forever ni full black.Nmeangalia pia Colgate junior ni full black.Cjui ni ya kweli wanayosema.
 
Walizinunua dukani, wewe unafikiri zilishushwa toka mbinguni? Kama bei yake ilikuwa juu iliyoitwa na wengine bei ya kuruka that's another issue.

Ooh basi ni mahodari sana wazee wako. Hongera, sisi tulikuwa hatuna uhodari wa kuyadai hayo maduka wakati wa kujifunga mkanda wa Nyerere. Sisi tuliona maduka yakiuza vitu kwa foleni zilizodhibitiwa alipoingia Mwinyi madarakani.
 
Cc: Easymutant Invisible Moderator

A graphic which has circulated online for years attempts to explain the colored-squares which-appear on tubes of various products. It is claimed that different colored squares on tube packaging indicates-the chemical content of the product. Today we'll take a look at this claimHoax: Meaning of Squares on Tubes - wafflesatnoon.com[/QUOTE]

Naomba nisaidie kuweka.. Maana Tanzania uongo unasambaa kuliko ukweli
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…