Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibi Faiza, siyo maxim ni maxam.
Je unakumbuka dawa ya meno [SIZE=+2]GreenLeaf?[/SIZE]
Ubishi mwingine ambao hauna maana.
Mswaki tangu lini ukawa na dawa!
Hivi non-living material uwa ina dawa?
JIBU: Colgate herbal ina rangi ya kijani-all natural
FaizaFoxy. Uko sahihi kabisa. Nilikuwa na duka la chakula tangu 1971. Hizi ni za magendo. Wafanyabiashara wadogo wanazipitisha njia panya.
Ni dawa ya meno ni si dawa ya mswaki
Walizinunua dukani, wewe unafikiri zilishushwa toka mbinguni? Kama bei yake ilikuwa juu iliyoitwa na wengine bei ya kuruka that's another issue.Hongera sana, nnauhakika ulikuwa hujuwi wazee wako wanazitoa wapi, wewe unatumia tu.
fluoride ni chemical au medicine?1. All Natural - inamaanisha ina vimelea vya asili kwa hiyo haina madhara yeyote kwa mtumiaji
2. Natural + Medicine - inamaanisha ina vimelea vya asili na dawa kwa hiyo hii inatibu pia pale unapokuwa na matatizo ya meno.
3. natural + Chemical - ina vimelea vya asili na kemikali mara nyingi kemikali huwa na madhara kwa matumizi ya binadamu bila kujali ni kemikali za sumu au za kawaida
4. All Chemical - Yaani hii imejaa kemikali na kiuhalisia dawa haina hii lazima zitakuwa na madhara kwa mtumiaji.
Je, umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya meno?
Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki.
Tazama picha hiyo hapo chini.
1.View attachment 217737
Maana yake angalia picha hizi zifuatazo (2&3)
2.View attachment 217738
3.View attachment 217736
Ubishi mwingine ambao hauna maana.
Mswaki tangu lini ukawa na dawa!
Hivi non-living material uwa ina dawa?
False Claim - Colour of Squares on Tubes Denotes Chemical ContentJe, umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya meno?
Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki.
Tazama picha hiyo hapo chini.
1.View attachment 217737
Maana yake angalia picha hizi zifuatazo (2&3)
2.View attachment 217738
3.View attachment 217736
Nimechoka, ina maana dawa za forever ni all chemicals manake zina mstari mweusi
Walizinunua dukani, wewe unafikiri zilishushwa toka mbinguni? Kama bei yake ilikuwa juu iliyoitwa na wengine bei ya kuruka that's another issue.