Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Watu wa umri wako hampaswi kuwa namna. Wewe hata wanao au wajukuu kazi wanayo.
 
Ndugu zangu wanaJF wanasema akili za kuambiwa changanya na za kwako.

Ni hivi;
Tufanye experiment. Kuna wanaosema hizo rangi ni eye marks za mashine. Wengine wanasema ni wingi wa chemicals.

Tufanye hivi. Tuchukue sample za Colgate herbal batch tofauti kama zina rangi zinazokinzana. Au tuchukue rangi za whitedent rangi tofauti, batch tofauti tuone tofauti zake ni nini.

Tukumbuke no research no right to speak.

Ningekuwa na huo muda ningefanya hii tadhmini kwa ufasihi.

Ili tujifunze lazima tuwe na sample kama 20 au zaidi za dawa hiyo hiyo ila batch tofauti tuone kama zina rangi moja au tofauti.
 
Mmmh dawa yangu ina rangi ya zambarau !!!!
 
Wakuu VP kuhusu Whitedent kwa sababu imeandikwa INA Fluoride je haina madhara
 

lawama ziwaendee watengenezaj bila kujal majina maana haya makampun yalitakiwa kwenye makasha ama matangazo watoe hii elimu hii ni kama kwa makampun ya sigara wanavyofanya

huwez kuweka alama bila maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…