Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Watu wa umri wako hampaswi kuwa namna. Wewe hata wanao au wajukuu kazi wanayo.
 
Ndugu zangu wanaJF wanasema akili za kuambiwa changanya na za kwako.

Ni hivi;
Tufanye experiment. Kuna wanaosema hizo rangi ni eye marks za mashine. Wengine wanasema ni wingi wa chemicals.

Tufanye hivi. Tuchukue sample za Colgate herbal batch tofauti kama zina rangi zinazokinzana. Au tuchukue rangi za whitedent rangi tofauti, batch tofauti tuone tofauti zake ni nini.

Tukumbuke no research no right to speak.

Ningekuwa na huo muda ningefanya hii tadhmini kwa ufasihi.

Ili tujifunze lazima tuwe na sample kama 20 au zaidi za dawa hiyo hiyo ila batch tofauti tuone kama zina rangi moja au tofauti.
 
Mmmh dawa yangu ina rangi ya zambarau !!!!
 
Wakuu VP kuhusu Whitedent kwa sababu imeandikwa INA Fluoride je haina madhara
 
Je, umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya meno?

Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki.

Tazama picha hiyo hapo chini.


1.View attachment 217737

Maana yake angalia picha hizi zifuatazo (2&3)

2.View attachment 217738

3.View attachment 217736

lawama ziwaendee watengenezaj bila kujal majina maana haya makampun yalitakiwa kwenye makasha ama matangazo watoe hii elimu hii ni kama kwa makampun ya sigara wanavyofanya

huwez kuweka alama bila maelezo
 
Back
Top Bottom