Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

Hahahaha, hujachoka peke yako na mi nlikua nasukutua asubuhi hii nkaangalia iyo forever ni full black.Nmeangalia pia Colgate junior ni full black.Cjui ni ya kweli wanayosema.

dawa yenyewe Inauzwa bei kubwa, yaani niko njia panda na hii habari kama ni kweli basi forever wanatuibia
 
Ndugu COARTEM leo umeniangusha. Ulipaswa uangalie ukweli kabla huja post taarifa kama hiz. Watu ni rahisi sana kudanganywa. Wengi wameshachukua taarifa hizi na kuzisambaza. Hii message ni hoax. Imekuwa inazunguka mara kwa mara kwenye mitandao. Hiyo square kwenye tube ya dawa ya meno haihusiani na kilichomo ndani ya tube. Hizo square ni alama zinazotumika katika uzalishaji. Wataalamu wanaziita "eye marks" na husomwa na sensor ya mashine ili kuzitambua na kuzipanga tube kwa ajili ya tendo fulani, mfano kukunja n.k. Mara nyingi hiyo rangi ya hiyo square, pia ni rangi ya kitu kingine kilichochapishwa kwenye hiyo tube. Moderator na akina Mike McKee nadhani huu ni muda muafaka wa kuwatafuta volunteers wa ku moderate taarifa fulani kulingana na ujuvi wa moderators. JF ni kitovu cha elimu, tusiwape members na visitors elimu isiyo sahihi.
Kaka COARTEM naamini uki search na kukuta ni hoax utarudi juu na kuweka updates...

Mkuu mimi sijalazimisha mtu akubaliane namimi moja kwa moja. Kumbuka hata makampuni yanayotengeneza GM food hawakubali kuweka label kwenye hivyo vyakula kuwa ni Genetically modified. Wanataka watuaminishe kuwa GM food ni natural. Hivyo niwakati muafaka wakuanza kufuatilia vitu tunavyotumia.
 
Afadhali ya ufisadi wa miaka 25 ya nyerere kuliko huu ufisadi wa miaka 9 ya kikwete....EPA, Richmond, Escrow...

EPA -Mkapa
Richmond - Mkapa
Escrow - Mkapa

Hayoyote yalianzia kwa Mkapa, leo Kikwete kaja kuyaweka wazi na kuyashghulikia mnamuona mbaya?

Hukumsikiliza hotuba yake? kwa kukumbusha tu, alisema " Ingekuwa CCM haitaki au mimi sitaki yasingefika hapa yalipo, CCM wala msisite kuliongea hilo". Akataowa na idadi ya wajumbe wa kamati ya PAC, unaijuwa wangapi wa CCM?

Kikwete ni kiboko ya maharamia wazoefu wa Tanzania na ndiyo maana wengi wenu mnamchukia kwa kuwabana pazuri.

Fikiri.
 
Hapa kuna kaharufu ka UDINI
 
Jamani hivi kazi ya hawa tbs ni nini :what::what: kizazi cha watanzania kina athirika sabab ya kula rushwa na kuingiza bidhaa zisizo na viwango

Mungu wetu si j, kiwete kuwa atawasafisha kwa hujuma hizi ,,, Malipo ni hapa hapa duniani 🙂🙂
 
poor you, hujui kuna dawa za kusafishia vigae, pia kuna dawa ya viatu, pia kuna dawa ya kuunganisha kioo kilichoweka crack.

Dogo, acha kukariri!
Hizo ni common mistakes ktk lugha yetu ya Kiswahili.
Ebu tuangalie defn ya neno 'dawa' ktk lugha yenye msamiati mkubwa zaidi ya lugha ya Kiswahili.
[size=+2]Medicines are meant to treat illness or injuries. Some are meant to prevent illnesses or maintain health and well-being.Others are meant to ease the problems caused by an illness or injury.[/size]

Dogo, ikiwa unaweza ku-treat/prevent illness ktk vigae na vioo vyako, its well and good!
 
Dogo, acha kukariri!
Hizo ni common mistakes ktk lugha yetu ya Kiswahili.
Ebu tuangalie defn ya neno 'dawa' ktk lugha yenye msamiati mkubwa zaidi ya lugha ya Kiswahili.
[SIZE=+2]Medicines are meant to treat illness or injuries. Some are meant to prevent illnesses or maintain health and well-being.Others are meant to ease the problems caused by an illness or injury.[/SIZE]

Dogo, ikiwa unaweza ku-treat/prevent illness ktk vigae na vioo vyako, its well and good!

unajua maana ya injury wewe??

na kwa red hapo, jifunze adabu kwa wakubwa zako. kwa uandishi wako tu unaonekana kuwa na umri sawa na mjuu wangu
 
unajua maana ya injury wewe??

na kwa red hapo, jifunze adabu kwa wakubwa zako. kwa uandishi wako tu unaonekana kuwa na umri sawa na mjuu wangu

Just wake up from your dream young man!
 
Heee umenipa kibarua cha kutizama dawa zangu ila ni za blue thanks kwa elimu hii thanks alot
 
Back
Top Bottom