Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Hakuna Tena kujificha kama unatumia mtandao wa X jua utaweza kutambuliwa😎.

​

Mtandao wa X (Twitter) imeanza kufanya majaribio ya kuweka kipengele kipya kinaitwa "About this Account" ikiwa na uwezo wa kuonyesha Taarifa nyingi za akaunti Yako.

Taarifa mbalimbali zittaweza kuonyeshwa kuhusu akaunti unayotumia kuanzia;

​

♟️ Nchi / Eneo ambalo kaunti Yako imefunguliwa.
♟️ Ni mara ngapi mtumiaji amefanikiwa kubadili jina kwenye hiyo akaunti.
♟️ Tarehe na Siku ambayo akaunti imefunguliwa.

​

♟️ Itaonyesha ikiwa muhusika anatumia VPN au lah.
♟️ Anatumia hiyo app kupitia Simu Gani (Android / iphone).

​

🚀 Kumbuka yote haya yanafanywa kuweza kuzuia na Kupunguza Matumizi ya akaunti Feki na zinazotumia Taarifa za Uongo au kueneza uchochezi nk.
 
Hamna cha maana hapo X wakitaka kukunyakua watatumia njia kama wanazotumia hapa JF watu kunyakuliwa
 
Mtandao utahamwa tu endapo wameamua kujiunga na watesi wetu na kuwasaidia watuteke na kutuuwa vizuri.
 
Hakuna taarifa za Mtu binafsi hapo.

Na uenda wakaweka option ya ku disable hyo app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…