Mao Tanzania
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 210
- 231
Daah,.unajua maana ya sacrament takatifu mzee baba??Tuiite sakramenti takatifu kwakuwa tukiita kwa jina lake wajinga huhamaki
Ni chakula cha rohoDaah,.unajua maana ya sacrament takatifu mzee baba??
Ukimuangalia machoni unalewa
Man yuko hairee sana...Ukimuangalia machoni unalewa
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kabla ya uchaguzi mkuu itahalalishwaAsante Asante Asante sana, Shukrani nyingi kwako Mh. Rais kutukumbuka watu wa Jani.
Uzoefu kwangu unaonesha Bangi ikitumiwa vizuri na kwa utaratibu inafaida. Tuifanye bangi kitu cha kawaida na tutaona jamii ikiitumia kwa utaratibu.
Saaana. Ila kafanya Jema sana
Hizi bangiHizi thread kila siku za tuliofanya kitu flani tukutane.... Nahisi kuna siku mtu atasema waliowahi kupata/ kutoa tigo wakutane.
Sent using Jamii Forums mobile app