Mao Tanzania
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 210
- 231
Asante Asante Asante sana, Shukrani nyingi kwako Mh. Rais kutukumbuka watu wa Jani.
Uzoefu kwangu unaonesha Bangi ikitumiwa vizuri na kwa utaratibu inafaida. Tuifanye bangi kitu cha kawaida na tutaona jamii ikiitumia kwa utaratibu.