Watumiaji wa gesi asilia kwenye magari wamefikiwa, wawekewa tozo ya 382 kwa kila kilo

Wanahamasisha kuondoa uchafuzi wa mazingira kwa kuwaambia watu wafunge magari gesi halafu wanaweka kodi kwenye gesi ili watu waache kufunga vifaa vya gesi ktk magari.
fake Phds
 
Unaweza kupata elimu ya juu hadi ngazi ya Phd lakini ikakufanya ukawa mjinga zaidi ya ulivyokuwa haupo nayo. Nilikuwa nasikia watu wanasema kuwa huyu mtu elimu yake ni ya mashaka makubwa sana na kuna uwezekano kuwa ni ya kupewa, na sasa ninaweza kuyasadiki yale maneno.

Huyu mtu sijui vilitumika vigezo gani kumuweka hapo alipo, upuuzi ni mwingi sana aisee.
 
Ana akil za kijinga na kipuuzi sana,
huwezi kuondoa hewa chafu kwa kupandisha bei ya gesi ya magari at the same time una advocate kutunza mazingira halafu unasema una Phd, rubbish Phds[emoji848]
 
Haya ndiyo madhara ya kuwaruhusu wanasiasa kuwa wafanyabiashara wa vituo vya mafuta kote nchini! Hii ni hujuma ya wazi kabisa.
Ndugu hii nchi ngumu sana, just imagine gesi sasa ndo ilikuwa kimbilio sasa wamejaza matozo tena wapi Kwa kupumulia tena, sasa nimeanza kuamini kuwa mafuta yangekuwa na bei rahisi kumbe matozo ndo sababu yamafuta bei kupaaa.
 
Ana akil za kijinga na kipuuzi sana,
huwezi kuondoa hewa chafu kwa kupandisha bei ya gesi ya magari at the same time una advocate kutunza mazingira halafu unasema una Phd, rubbish Phds[emoji848]
Tena ni zaidi ya rubbish,Yani hii bajeti ni ushubwada mtu PhD ya nyoko.tena mwigulu hakustahili kuwa waziri wa fedha wa taifa hili.
 
Hii nchi ya ajabu sana mwigulu alitujibu Kwa dharu SS wenye nchi kuwa kama Kodi zimezidi tuhamie Burundi,sasa Kuna mtu kweli pale zingekuwa nchi za wenzetu siku ya pili hayuko ofisini
 
Kwa hali ya mateso ya upatikanaji gesi hiyo na ongezeko la kodi nitatumia mafuta ya mwarabu kuliko kutumia gesi yetu๐Ÿคฃ
 
Sisi wananchi ndo mafala tena mafala pro watu wanajilia tu kodi zetu full kula bata huku kodi ikipanda kila mara harafu tunakuja kupiga kelele kwenye mitandao basi hapo tunaona imeisha.Viongozi wanatujua sisi ni mazombi maana hatuwawajibishi wala hatuwezi hata kuandamana dah...???
 
Kitumbua kimeingia mchanga.
Mchanga kwelikweli, litakuja ongezeko la almost 25% kwenye bei... Yaani unamuongezea mtu robo ya bei ghafla kwasababu ya sera na si dharula kama majanga ya asili au kibinadamu tena kwa bidhaa unayozalisha mwenyewe ndani ya nchi.
 
Aliyekuambia gesi ni ya kwetu wenyewe ni nani
 
Sasa 382 ndio itafanya watu wasihamie kwenye gesi Waendelee kipa bei kubwa ya Mafuta? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hoja ya msingi ni hela ya Barabara imepatikana,hata kwenye Sgr kote huko Kuna tozo za kuchangia.

Ni ajabu sana hii Nchi watu wanataka vitu vizuri na hawataki kulipa Kodi/tozo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Halafu watakuja akina Lucas Mwashamba kuja kusifia huu ujinga๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Kama unaona ujinga is okay ila hii ndio ajabu ya Machadema na nyumbu wao,kwamba wanataka vitu vizuri ila hawataki kulipa Kodi/tozo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Kwamba nyumbu wa Chadema hawatatoza Kodi popote mtakuwa mnapata bwerere๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kukosa akili ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ