Watumiaji wa gesi asilia kwenye magari wamefikiwa, wawekewa tozo ya 382 kwa kila kilo

Watumiaji wa gesi asilia kwenye magari wamefikiwa, wawekewa tozo ya 382 kwa kila kilo

Dunia inapambana na carbon emission reduction kwa kuangalia nishat mbadala sisi ndiyo kwanza tunakatisha tamaa. Hiyo mikutano waliyoenda huko Dubai, ndicho walichokubaliana?
 
Dunia inapambana na carbon emission reduction kwa kuangalia nishat mbadala sisi ndiyo kwanza tunakatisha tamaa. Hiyo mikutano waliyoenda huko Dubai, ndicho walichokubaliana?
Kwenye hiyo mikutano hufanya vitu viwili kusinzia mikutanoni na kwenda shopping hamna la maana wanalo rudi nalo kwenye hili la kuweka Kodi kwenye gesi asilia ya Magari ni ushahidi
 
Mkisilizwa mniite mbwa. Kuwatia moyo, Burundi sio mbali sana.
 
Tusipoitoa CCM na kuleta Fresh Minds tutaendelea kuwa Masikini milele.
Sio lazima itoke ila Serikali ianze kujaza vijana wenye akili.kwenye maeneo ya maamuzi wanaijua Dunia ya Sasa kuliko wazee waliojazana maeneo ya maamuzi bunge pia CCM ijaze wabunge vijana bunge limejaa wazee
 
Back
Top Bottom