Dunia inapambana na carbon emission reduction kwa kuangalia nishat mbadala sisi ndiyo kwanza tunakatisha tamaa. Hiyo mikutano waliyoenda huko Dubai, ndicho walichokubaliana?
Dunia inapambana na carbon emission reduction kwa kuangalia nishat mbadala sisi ndiyo kwanza tunakatisha tamaa. Hiyo mikutano waliyoenda huko Dubai, ndicho walichokubaliana?
Kwenye hiyo mikutano hufanya vitu viwili kusinzia mikutanoni na kwenda shopping hamna la maana wanalo rudi nalo kwenye hili la kuweka Kodi kwenye gesi asilia ya Magari ni ushahidi
Sio lazima itoke ila Serikali ianze kujaza vijana wenye akili.kwenye maeneo ya maamuzi wanaijua Dunia ya Sasa kuliko wazee waliojazana maeneo ya maamuzi bunge pia CCM ijaze wabunge vijana bunge limejaa wazee