Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo masharti ni yapi au ni masharti ya siri kiasi kwamba hayawezi kusemwa hadharani?!Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
Ulitaka kuyajua ukanyimwa? Ile ni biashara chief, kuna taratibu za kufata, hata china zinafatwa na wawekezaji wageni.Hayo masharti ni yapi au ni masharti ya siri kiasi kwamba hayawezi kusemwa hadharani?!
Kinachotolewa ufafanuzi ni kile unachokijua lakini hukielewi. Wewe unayajua hayo masharti mpaka u demand explanation?Pengine yatolewe ufafanuzi ili watu waelewe
Yaweke hapa tuine ugumu wake, ili tuwapopoeMasharti Magumu mnategemea wawekezaji kweli Waziri apime ushauri wa wataalam wake kuhusu Starlink kama una tija na maslahi ya nchi vinginevyo wapitie upya uamuzi huo internet siyo anasa tena ni lazima kwenye maisha ya binadamu.
Moja ya sharti ni kuanzisha/kuwa na ofisi (physical address) Tanzania.Hayo masharti ni yapi au ni masharti ya siri kiasi kwamba hayawezi kusemwa hadharani?!
Hilo linatuhakikishia usalama wa upatikanaji wa kodi zetu. Hata Marekani wali demand the same issue kwa Google.Moja ya sharti ni kuanzisha ofisi (physical address) Tanzania.
hio sawaMoja ya sharti ni kuanzisha/kuwa na ofisi (physical address) Tanzania.
Napeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!Kama kaja DP World Sidhani kama Musk atashindwa hayo masharti
Labda wanataka Elon Musk aweke Cheti cha fom 4 na D mbili za form 6Hayo masharti ni yapi au ni masharti ya siri kiasi kwamba hayawezi kusemwa hadharani?!