Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

Bro ninavohisi haitofanya kazi sababu sio signal sababu tanzania ndio wanaofungua hiyo server au?
Maana ukiangalia beam mombasa na tanga ni uso na pua lakini kwenye map ya Starlink ukiweka tanga inakwambia huduma bado ila mtu alieko mpkakani na map yake inasoma kenya basi inafanya kazi
Mwenye uwezo wa kuzuia transmission ni Mmarekani, ndiye anayetawala anga na Satellites, hakuna nchi hata moja Afrika yenye huo uwezo, usiogope
 
Hebu nambieni kwanza kwani gb 1 ya star link ni bei gani
1000005035.jpg
 
Mwenye uwezo wa kuzuia transmission ni Mmarekani, ndiye anayetawala anga na Satellites, hakuna nchi hata moja Afrika yenye huo uwezo, usiogope
Umenipa habari njema nainunua
Mie sipo tz lakini nainunua na nitaingia nayo tanzania full package hadi adapta yake thank you bro
 
Bro baba na Mama hapo yanawahusu nini ulikua umtukane yee tu
Yeye wakati ameanza kunitukana ulimpa ushauri?.
Ajifunze kusoma mawazo ya wenzake na kuchagua kujibu, kukosoa au kuacha bila matusi wala kashfa. Kila mtu ana mtazamo wake kwa jambo fulani.
 
Back
Top Bottom