Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

Huyo poyoyo Nape hakuna kitu kichwani, anacho ongea ni upuuzi tuu na wala sio law, ni policy tuu inayoweza kurekebishwa jamaa wakachapa kazi, anaikosesha nchi billions of money za Kodi, na anawanyima fursa millions of people ambao wangeweza kutumia hiyo huduma kupiga pesa na kuendesha Maisha yao kirahisi, Dunia ya Leo high speed internet sio luxury ni muhimu kama umeme tuu, lakini unategemea Nini Kwa mafisadi wanaozima internet wakati wa uchaguzi, wakoloni weusi ni hovyo kuliko weupe
 
View attachment 2990878

Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
Huyo nape ni poyoyo, wakati yeye anakataza starlink watu tayari wanazo na wanazitumia. Mwambieni "kalaga baho".

Hivi kuja nini cha kuzuwia watu wasinunuwe starlink Kenye na kuja kuitumia Tanzania?

Ujinga umemjaa sana Nape, hajuwi kuzitumia akili zake kwa maslahi ya wananchi, yupo katika asilimia tu, astaafu vyema.
 
lakini President Samia can overrule him, Hana wasaidizi wa kumwambia huu ujinga anaofanya Nape? high-speed internet ni muhimu sana Kwa Dunia ya Leo, President Samia anaweza kubadilisha hili Kwa one call tuu
 
Huyo nape ni poyoyo, wakati yeye anakataza starlink watu tayari wanazo na wanazitumia. Mwambieni "kalaga baho".

Hivi kuja nini cha kuzuwia watu wasinunuwe starlink Kenye na kuja kuitumia Tanzania?

Ujinga umemjaa sana Nape, hajuwi kuzitumia akili zake kwa maslahi ya wananchi, yupo katika asilimia tu, astaafu vyema.
Mnamuonea bure tu Nape. His hands are tied.
 
Huyo nape ni poyoyo, wakati yeye anakataza starlink watu tayari wanazo na wanazitumia. Mwambieni "kalaga baho".

Hivi kuja nini cha kuzuwia watu wasinunuwe starlink Kenye na kuja kuitumia Tanzania?

Ujinga umemjaa sana Nape, hajuwi kuzitumia akili zake kwa maslahi ya wananchi, yupo katika asilimia tu, astaafu vyema.
Babu unadhani anayefanya maamuzi ni waziri?

Sio washauri wale wa kitaalam?
 
Mamlaka ya Mawasiliano inahitaji kushauriwq
 
Ndio kwasababu utatazama beam ya hiyo Satellites kama inafika humu
Download App ya Starlink kisha u scan kama utapata signal
Bro ninavohisi haitofanya kazi sababu sio signal sababu tanzania ndio wanaofungua hiyo server au?
Maana ukiangalia beam mombasa na tanga ni uso na pua lakini kwenye map ya Starlink ukiweka tanga inakwambia huduma bado ila mtu alieko mpkakani na map yake inasoma kenya basi inafanya kazi
 
Back
Top Bottom